Wajasiri amali walioanzisha soko la Jumapili wametakiwa kuhakikisha kwamba azma yao waliyoibuni na kuianzisha wanaendelea kuifanyia kazi na ...
Makamo wa Pili atoa mkono wapole Tumbe-kisiwani Pemba
Wananchi wa Kijiji cha Tumbe kiliyomo ndani ya Wilaya ya Micheweni Mkoa Kaskazini Pemba wametakiwa kuwa na subra katika kipindi hichi kigumu...
Masoko mazuri kwa wavuvi ni chanzo cha kuinui uchumi wa nchi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema hatua za Serikali za ujenzi wa Masoko katika maeneo tofauti Nchini imelenga ...
Ni jumba maarufu lijulikanalo kwa jina la JUMBA LA DHAHABU ambalo lipo katika mwambao wa bahari ya Bagamoyo, muonekano wake halina tofauti sana na zile NGOME ambazo zilikuwa zikutumika wakati wa Ukolini kwenye bara hili la Afrika ya Mashariki
Hii ni sehemu ya mbele ya jumba hili ambalo linasemkana pia limewahi kuwa jela hapo awali Hii ni sehemu ya nyuma kama ambavyo zilivyo ngo...
Elimu kwa maisha bora Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Vijana kwamba huu si wakati wa mchezo katika suala zima la kujitaf...
Uchunguzi wa Kiafya katika nchi za Afrika ya Mashariki ni tatizo linalowasumbua watumishi wengi wa nchi wanachama
Ukosefu wa uchunguzi wa Kiafya kwa Wafanyakazi walio wengi katika Taasisi za umma na hata zile za kibinafsi umekuwa ukiendelea kulaumiwa kwa...
Ipo haja kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania kwa kuweza kuitunza na kuifanyia marekebisho Bandari kongwe ya Bagamoyo kuliko kuiwacha kama hivi ilivyo hivi sasa
Taifa lajenga matumani mapya baada ya taasisi nyingi kujitokea katika kufanya utafiti
Taifa limejenga matumaini makubwa ya kupata mafanikio kufuatia Taasisi mbali mbali Nchini kujihusisha na masuala ya Utafiti katika utekeleza...
Serikali imejiandaa vyema katika upokeaji maoni juu ya mabdaliko ya katiba
Taifa Limelazimika kujiandaa kutoa fursa kwa Wananchi kutoa Maoni yao kupitia Mfumo wa Tume itakayoundwa na Rais wa Jamuhuri ili kuwapa nafa...
Tanzania yashauriwa kuwa na mikakatia imara kati yake na Oman
Upo umuhimu wa kuwekwa mikakati ya kuwepo kwa Kamati ya pamoja kati ya Tanzania na Oman kwa lengo la kuimarisha Ushirikiano wa muida mrefu w...
Kila mtu anahaki ya kutoa moni kwa mujibu wa sheria
Mchakato wa kupata katiba Mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania utakamilika vyema na kufanikiwa endapo Wananchi wa Tanzania wenye kufikia...
Ujenzi unaoendelea ndani ya mji Mkongwe Zanzibar jee unafuata taratibu au ni tamaa ya fedha tu?
Wafanyakazi nchini wameombwa kusameheana katika kipindi hiki cha mwaka mpya
Watendaji wa Sekta za Umma na hata zile za Kibinafsi wameombwa kusameheana endapo kuna makosa yaliyojitokeza ndani ya mwaka 2011 ili kujipan...
Ni dhahiri kwamba jamii ya Watanzania walio wengi si watunzani bali ni wabomowaji tu, hii ni jiwe ambalo limetengenezwa kwa gharama kuwa na mfadhili ambali linaitambulisha bustani ya Forodhani Zanzibar lakini Mamlaka husika hazijaona umuhimu wa kuyatunza mawe haya bali ni kuyatupa kama ambavyo yanaonekana katika picha badala ya kuwekwa katika sehemu stahiki ya busatani ya Forodhani
SMZ inawaza kutafuta wataalamu wa kushona toka nje ya nchi
Serikali inafikiria kuagiza kutoka nje ya Nchi Wataalamu wa ushonaji wa nguo wenye uwezo wa kiwango cha juu kwa lengo la kufikia kuwa na Was...
Jumuiya ya Uhifadhi ya Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiriana na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kiponda wakifanya usafi katika eneo la fukwe ya Forodhani Zanzibar
SMZ yaahidi ushirikiano zaidi kwa Ubalozi mdogo wa Oman uliyopo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano zaidi kwa Balozi Mdogo Mpya wa Oman aliyepo hapa Zanzibar ili kuona uhusiano ...
Nguvu za CCM zitaendelea kuimarika
Nguvu za Chama Cha Mapinduzi zitaendelea kuimarika zaidi iwapo kasi ya Umoja wa Vijana wa Chama hicho itakuwa imara wakati wote wa utekeleza...
Mipango mizuri inaweza kuwasaidi kuwanyanyua kiuchumi wafanyabiashara wadogo wadogo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Mipango mizuri ya kuwajengea uwezo wa uzalishaji wajasiriamali wadogo wadogo...
Serikali yatakiwa kuwa makini kwa walioathirika katika ujenzi wa uwanja wa ndege Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kuhakikisha kwamba utaratibu muafaka usioleta machungu unazingatiwa ili kuwapa faraja Wananchi wa...
Products from tobacco cause cancers where as products from bees harvesting is anti-cancer
Dr Ali Mzige Tobacco contains a variety of different noxious substances, but the dangers of three of them are particularly important. Nico...
Kilimanjaro na muonekano wake hivi sasa
hii ndio hali halisi ya mlima Kilimanjaro ulivyo kwa sasa, ingawaje ni kivutio kikubwa wa watalii waingio katika nchi kama Tanzania na Kenya...
Usafiri wa anga
Balozi Seif wakati alipotembelea uwanja wa ndege wa Zanzibar kukakuguwa eneo la uwanja lilovamiwa na ujenzi wa nyumba
Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati yatarajiwa kuwagawa viwanja
Wakati Serikali inaendelea kufanya tathmini ya nyumba na mali zilizomo ndani ya eneo jipya kwa ajili ya utanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Zanzib...
Jamii yatakiwa kuwa na tahadhari kutokana na mvua zinazoendela kunyesha nchini
Jamii imekumbushwa kuwa na tahadhari kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini ambazo tayari zimeshaleta athari na kupoteza maisha y...
Balozi Seif atembelea ZBC (TVZ)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekumbusha kwamba mafanikio ya kazi popote pale hupatikana na kuongezeka iwapo sual...