hii ndio hali halisi ya mlima Kilimanjaro ulivyo kwa sasa, ingawaje ni kivutio kikubwa wa watalii waingio katika nchi kama Tanzania na Kenya, lakini saala la kujiuliza kwa sasa ni nchini gani inayofaidika zaidi ya mafao ya mlima huu ni Kenya au Tanzania?

0 comments:

 
Top