abiria kwenye kituo cha dala dala Michenzi Polisi wa usalama wa bara barani wakiwa wamefunga njia kwa ajili ya ukaguzi ingia huko acha ...
Serikali imeanza kutekeleza mapendekezo ya ripot ya Mv Spice Islanders 1
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutekeleza kwa vitendo Mapendekezo yaliyomo ndani ya Ripoti ya Tume iliyoundwa na Rais wa Zanzibar...
The UN Secretary-General's,Ban Ki-moon remarks to the General Assembly
The human and physical geography of our world is changing. New centres of economic dynamism are emerging. Technology continues to knit us mo...
Matayarisho ya SENSA 2012 Zanzibar
Jumla ya maeneo 3,024 ya kuhesabia Watu { EAs } yametayarishwa kwa ajili ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 ikilinganishwa na maeneo 2...
Ongezeko la watu haliendi sambamba na ukuaji wa uchumi Zanzibar
Ongezeko kubwa la idadi ya watu ambalo haliendi sambamba na kasi ya ukuaji Uchumi limesababisha Serikali na Mashirika yake kushindwa kuajiri...
Takribani 42.5% ya pato la Zanzibar kwa mwaka 2010 limetokana na sekta ya mawasiliano
Asilimia 42.5% ya pato la Zanzibar kwa mwaka 2010 limetokana na Sekta ya Huduma ambayo ndio inayoongoza katika kulipatia pato kubwa Taifa hi...
Mabalozi wapya Tanzania
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alikutana na Mabalozi wapya sita walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania k...
IDB yapongezwa kwa juhudi zake
Benki ya Maendeleo ya Kiislamu { IDB } imepongezwa kwa jitihada zake za kusaidia ufadhili kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaopata fursa ya masom...
ARTERIAL NETWORK YATANGAZA NAFASI YA KAZI
1-Secretary General Arterial Network requires a suitably skilled and experienced person for the strategic position of Secretary General due ...
Mabadiliko katika michezo na hasa mpira wa miguu
Kwanza kabisa sian budi kumpongeza Balazi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuweza kufanya ziar...
Wajumbe wa baraza la WAWAKILISHI Zanzibar wapewa darasa kuhusu Afrika Mashariki
NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI DR. ABDULLA JUMA ABDULLA WAKATI AKITOA MADA YA HISTORIA YA JUMUIYA YA AFRIKA MAS...
Bidhaa za Afrika ya Mashariki zaweza kupata soko zuri kama wazalishaji wataziweka katika mfumo unaokubalika kimataifa
Bidhaa zinazozalishwa ndani ya Afrika Mashariki zinaweza kupata soko la uhakika iwapo wazalishaji wa bidhaa hizo watazitengeneza katika kiwa...
Ipo haja kwa vyombo vya utangazaji Zanzibar kubadiliko kutoka analogi kwenda digital
Nchi inaweza kugeuzwa kuwa jalala la kutupia vifaa vya kizamani vya analogi iwapo itachelewa kuingia katika mfumo wa sasa wa teknolojia ya H...
Uwanja wa Mao wafanyiwa ukaguzi na Makamo wa Pili wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amefanya ziara fupi ya kukagua Uwanja wa Michezo wa Mao ambao Serikali ya Mapinduzi ...
Balazi asema maandalizi ya sherehe za mapinduzi yaanze mapema
Iko haja ya kujiandaa mapema na mipango madhubuti ya muelekeo wa maadhimisho ya kutimia miaka 49 na 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo yanat...
Waumini wa dini ya kiislamu wamsifu Mtume kwa mujibu wa sheria
Makamu wa Pili wa Zanzibar wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema ni wajibu kwa Waumini wa Dini ya ...
Meli ya Costa Concordia iliyozama hivi karibuni barani ulaya
Hebu basi natuangalie baadhi ya matukio ya kuzama kwa meli karibu duniani kote July 10, 2011 : iliyokuwa imepakia abiria kupita kiasi ili...
Tangazo la kazi MISA-TAN
Balozi Seif asema Bado kunamatumani makubwa katika kutafuta maendeleo
Yapo matumaini makubwa ya kuelekea kwenye Maendeleo bora kufuatia kuongezeka kwa nguvu na harakati tofauti za miundombinu zinazofanywa na ...
Sauti za Busara 9th Edition: Four Nights of 100% Live African Music
After receiving more than 560 applications from groups wishing to perform at the festival, from all over Africa and beyond, 31 groups were ...