Kwanza kabisa sian budi kumpongeza Balazi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuweza kufanya ziara ya kushtukiza katika uwanjwa mkongowe wa mpira wa miguu uliyopo kwenye mtaa wa Mpirani, ambapo mbele ya mtaa huu upo ukuta wa uwanja maarufu kisiwani Zanzibar ambao ni Mao Stung, huu ni uwanja muhimu sasa katika mjii huu, lakini hali halisi ilivyo sasa hauwendaji na jina la uwanja huo, kwani hapo waliposimama waheshimiwa ni miongoni mwa kuta za uwanja huo, ambao pia hutumika katika kuendesha ligi kuu ya Zanzibar, jee hali hii ya kutumia uwanja huu mbovu hadi lini?

0 comments:

 
Top