Hebu basi natuangalie baadhi ya matukio ya kuzama kwa meli  karibu duniani kote

July 10, 2011: iliyokuwa imepakia abiria kupita kiasi ilizama  Russia's Volga River karibu na  Kazan, na inakisiwa watu 122 walikufa.
September 10, 2011: meli ya Spice Islanders iliyokuwa ikienda Pemba ilizama katika mkondo wa Nungwi na kuuwa watu wasiopungua 203  
June 21, 2008: meli ilijulikano kwa jina la The Princess of the Stars ghafla ilipoteza muelekea katika fukwe za Philippines baada ya kukubwa na dharuba ilijulikanoyo kwa jina la typhoon.na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 800.
Feb 3, 2006: Baada ya kutokezea kwa moto kwenye meli iliyokuwa ikitokea Saudi Arabia kwenda badnari ya Egypt, port  Safaga, watu zaidi ya 1,000 walipotea. 
Sept 26, 2002: kivuko cha Senegalese kiliua zaidi ya watu 1,800 baada ya kukubwa na dhoruba iliyokuwa ikitokea iliyokuwa ikitokea upande wa Gambia. 
May 21, 1996: Mv.Bukoba iliyozama kwenye  Victoria Mwanza iliuwa watu wasiopungua 800.
Sept 28, 1994: Kivuko cha Estonia kilizama baada ya kukubwa na dhoruba kwenye bahari ya Baltic na kuuwa watu wasipungua 852.
Feb 16, 1993: kivuko kilichokuwa kimejaa kupita kiasi kilizama baina ya  Jeremie na  Port-au-Prince, Haiti, na inakisiwa kwamba zaidi ya kati ya watu 500-700 walikufa kwenye ajali hiyo.
April 7, 1990: moto uliotokea kwenye kivuko cha arsonist ambacho kilivunja na kupoteza mwelekeo wa The Scandinavian Star ferry kaskazini mwa bahari ya kwenda Oslo na Fredrikshavn, Denmark, ambapo inakisiwa watu zaiadi ya 159 walikufa. 
Dec 20, 1987: hadi ajali mabya iliyowahi kutokezea ya meli ni ile iliyouwa zaidi ya watu , 4,340 ilizamisha kivuko cha Dona Paz baada ya kugongana na Meli ya mafuta  MT Victor huko Philippines. 
Aug 31, 1986: meli ya abiria ya Soviet,  Admiral Nakhimov ilizama kwenye Bahari neyusi na kuuwa watu wote 448 waliokuwemo ndani ya meli hiyo.
May 25, 1986: watu  600 walikufa baada ya kivuko chao kuzama Mto Meghna- Bangladesh.Jan 27, 1981: watu 580 walikufa mara baada ya meli yao ya abiria ya  Indonesian, Tamponas II ilishiwaka moto na kuzama huko Java sea.
July 25, 1956: abiria wawili walikoukuwa mbele  Andrea Doria and the Stockholm, collide off Massachusetts, wakati ilipozama na  Andrea Doria iliuwa zaidi ya watu 46 ambapo abiria  1,706 na baadhi ya wafanyakazi walipona
.May 29, 1914: A Canadian Pacific steamship, the Empress of Ireland, ilizama na meli ya mizigo ya  Norway karibu na Quebec, na ilichukuwa dakika 14 nayo iliuwa watu wasiopungua 1,012.April 12, 1912: The Titanic the world's largest passenger steamship at the time, strikes an iceberg in the Atlantic and sinks on its maiden voyage, killing at least 1,496 people.

0 comments:

 
Top