Waumini wa Dini ya Kiislamu wameendelea kukumbushwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, hekima, busara na uaminifu ili kufikia kilele cha ...
Migrants’ voices must be heard in today’s all too often biased, polarized and negative debate on migration, says IOM’s World Migration Report 2011: Communicating Effectively about Migration.
The report states that although we live in an era of the greatest human mobility in recorded history, with greater acknowledgement that migr...
Mipango imara ya uwekezaji yaimarishwa Zanzibar
Azma ya Serikali ya Kuunda Wizara inayosimamia uwezeshaji ni kumfanya Mwananchi ajitegemee kufanyakazi kwa kutumia nguvu kazi badala ya kuwa...
Timu za mpira Kitope zapata jezi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haipendelei kuona masuala ya Kidini yanaingizwa ndani ya fani na Michezo . Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzi...
Khoja Shia ithna-ashari yatoa msaada Kitope
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi amelipongeza Shirikisho la Kimataifa la Jumuiya ya khoja Shia ithna-asheri kwa juhudi zake za...
Kilele cha tamsha la 100% Pemba
Na Haji Nassor Wananchi wa Kisiwa cha Pemba walijumika kwa pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ...
Wizara ya mambo ya Nje ihakikishe sara ya kuimarisha uchumi wa Tanzania
Kazi kubwa inayoikabili Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Tanzania ni kuhakikisha ile sera ya Mambo ya nje ya kuel...
Unyanyapa ndio chanzo cha kupunguza maambukizi ya VVU
Kuendelea kuwepo kwa unyanyapaa ndani ya Jamii kumeelezwa kupunguza kasi ya Taifa na Taasisi zake za kupambana na ukimwi Kitaifa na Kimataif...
Tangazo zuri lakini je utekelezaji upo?
ni kitu cha busara kwa uongozi wa AZAM MARINE na FAST FERRIES MATAWI YA PEMBA, kwa kutoa tangazo hili lenye muelekeo wa kuwaheshimu abiria n...
Ni tunda zuri lakini?
ki mtazamo ni tunda zuri sana kama ambavyo linaonekana katika picha, lakini utakapojaribu kutaka kilila litakushinda kutokana na wadudu (fun...
Usafiri wetu bado si salama
Ingawaje chombo kizuri kwa nje, lakini uingia ndani ya boti hii haina tofauti na tanuri ya kuvumbikia mbata, joto kali litokanalo na ukosef...
Ripoti ya Mv Spice Islanders itawasilishwa hivi karibuni
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea Ripoti Maalum siku chache zijazo kutoka kwa Tume iliyoundwa kuchunguzwa chanzo cha kuz...
Wanawake watakiwa kujiunga na vyuo vikuu nchini
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIWAHUTUBIA WAHITIMU WA MAHAFALI YA TANO YA CHUO KIKUU CHA ARUSHA, KATIKA HOTUBA ...
Mapinduzi CUP
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA KAMATI YA WAJUMBE WA MAPINDUZI CUP MARA ...
Utunzaji bora wa mifugo ni hazina njema kwa mazingira
Ukosefu wa kuwashughulia vizuri wanyama wanaofugwa na binadamu inawezekana ikiwa ni miongoni mwa uharibifu wa magaofu yaliyopo katika mji wa...
Ni miongoni mwa mabaki ya historia ya kijerumani yaliyopo Mkoa wa Pwani Bagamoyo
Mnara huu umejengwa kwa ajili ya kukumbushi vipo vilivyokuwa vikifanywa na Wajerumani wakati wa utawala wao kwenye koloni lao iliyokuwa Tang...
Vikosi vya Kenya na Samalia
Kenyan and Somali troops jointly attacked al Shabaab hideouts in Somalia on Thursday, killing a number of militants, and a Kenyan soldier w...
Mwamko mpya Mombasa
The Challenger for the Mombasa Governorship , Suleiman Shahbal, has today held a press conference and vowed not to recognize the outcome of ...
WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA TATU WA VIONGOZI NA WATAALAMU WANAOSHUGHULIKIA KUONDOSHA MIGOGORO BARANI AFRIKA
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIONGOZWA NA VIONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WAKATI AKIELEKEA UKUMBI WA MKU...
Nchi Yetu na Maa Media Center
Maa Media Center P.O. BOX 68877, Dar es Salaam-Tanzania Tel: +255 222 461 685 Mob: +255 787 575 918 E-mail: info@maamedia.com Website: http...
Bara la Afrika limefanikiwa kupunguza migogoro inayowakabili kwa kiasi kikubwa
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIFUNGUA MKUTANO WA TATU WA VIONGOZI NA WATAALAMU WANAOSHUHULIKIA KUONDOSHA MIGOGOR...
Kisonge yafunikwa na washabiki wa MUZIKI
MAONESHO ya sanaa ya kuadhimisha maridhiano ya kisiasa na kijamii Zanzibar, Jumamosi iliyopita yalihamia katika Uwanja wa Kisonge, ambapo vi...
Viumbe vya baharini
Ipo haja kwa wavuvi na taasisi zanazohusika na masuala ya bahari kuwa makini katika kuhakisha usafai wa fukwe za bahari husika kwa ajili ya ...
Ipo haja kwa watoto kupewa fursa za kufahia utoto wao
kuwapata nafasi watoto kufanya au kupanda vyombo au wanyama wawapendao ni haki yao ya kimsingi na ni haki kila mzazi kulifahamu hili na siyo...
Ujenzi sawa lakini utamalizika lini?
Dhana hizi zimewekwa hapa kwa kuzuwiya barabara kwa muda lakini kuwepo kwake hapa je kunasidia nini wakatika barabara haimaliziki?