MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIONGOZWA NA VIONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WAKATI AKIELEKEA UKUMBI WA MKUTANO WA VIONGOZI NA WATAALAMU WA WANAOSHUGHULIKIA KUONDOSHA MIGOGORO BARANI AFRIKA ULIOFANYIKA HOTEL YA MELIA ILIOPO PWANI MCHANGANI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.
PICHA YA PAMOJA YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA TATU WA VIONGOZI NA WA TAALAMU WANAOSHUGHULIKIA KUONDOSHA MIGOGORO BARANI AFRIKA MKUTANO HUU UMETAYARISHWA NA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WAKISHIRIKIANA NA KITUO CHA HAKI ZA BINAADAMU CHA KIMATAIFA PAMOJA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA NORWAY
WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA TATU WA VIONGOZI NA WATAALAMU WANAOSHUGHULIKIA KUONDOSHA MIGOGORO BARANI AFRIKA WAKIMSIKILIZA BALOZI SEIF ALI IDDI WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO WAO.
0 comments:
Post a Comment