Maa Media Center
P.O. BOX 68877, Dar es Salaam-Tanzania
Tel: +255 222 461 685 Mob: +255 787 575 918
E-mail: info@maamedia.com Website: http://www.maamedia.com/

KIPINDI KIPYA CHA NCHI YETU

Maa Media Center inapenda kuwataarifu kuwa kipindi kipya cha Nchi Yetu kitaanza kwenda hewani kwa kupitia kituo ukipendacho cha Channel Ten kuanzia tarehe 5/12/2011 kila siku ya Jumatatu saa 2:30 hadi 3:30 usiku na kurudiwa saa 9 Mchana Alhamisi.
Fuatilia pia kwenye blog yetu: nchiyetu.maamedia.com Tunawatakia utazamaji mwema na ututumie maoni yako kupitia email: info@maamedia.com

0 comments:

 
Top