Ipo haja kwa wavuvi na taasisi zanazohusika na masuala ya bahari kuwa makini katika kuhakisha usafai wa fukwe za bahari husika kwa ajili ya usalama wa watoto na hata wageni wanaotembelea katika fukwe hizo.
Hivi ni baadhi ya viungwa vya KAA ambavyo vimekuwa vikizagaa kwa wingi katika ufukwe(bahari) ya Bagamoyo karibu na ilitouwa bandari ya zamani

0 comments:

 
Top