Ingawaje chombo kizuri kwa nje, lakini uingia ndani ya boti hii haina tofauti na tanuri ya kuvumbikia mbata, joto kali litokanalo na ukosefu wavipoza hewa ( vimo lakini avifanyi kazi), ukosefu walugha nzuri kwa wahudumu wa bori hii (customer care) ni tatizo jengine ambalo mara kwa mara huwa linakumba abiria wasafirio kwenye boti hii.
inashangaza pale unampomfuta BAHARIA kwa ajili ya kutaka msaada jibu lake huwa ni la mkato na halina tija yoyote, kwa mfano unamfuta Bahari kumfahamisha kuhusu ukosefu wa vipoza hewa na unapomuomba kufungua mlango jibu lake sibiri baada ya muda mfupi hali ya hewa itakuwa nzuri, unapomashauri ufunguwe mlango jibu lake pia kama hunaweza toka nje, jee hii ndio lugha ya kiaasha au ni kiburi cha biashara?
ni baadhi ya abiria waliolala chini na watoto wao kwa ajili ya kutafuta ubaridi na kupumzika na joto, wakiti wakisafiri kutoka Pemba - Unguja

0 comments:

 
Top