ki mtazamo ni tunda zuri sana kama ambavyo linaonekana katika picha, lakini utakapojaribu kutaka kilila litakushinda kutokana na wadudu (funza) waliojazana kwenye embe hii, ingawaje serikali inafanya juhudi katika kulipatia ufumbuzi tatizo hilo lakini bado linahitaji mbuni mbadala ya kulitatua

0 comments:

 
Top