Balozi Seif ataka ujenzi wa hotel Nungwi kusimamishwa Balozi Seif ataka ujenzi wa hotel Nungwi kusimamishwa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameagiza kusitishwa mara moja  kwa shughuli zozote za ujenzi wa Maradi wa Hoteli k...

Read more »
18:19

Sudan yaahidi kuendeleza ushirikiano na Zanzibar Sudan yaahidi kuendeleza ushirikiano na Zanzibar

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha kwamba uhusiano kati yake...

Read more »
10:13

Washiriki wa mafunzo ya waandishi wa habari ZPC Washiriki wa mafunzo ya waandishi wa habari ZPC
Read more »
22:45

Bado inahitaji kutunzwa ili kudumisha mila, desturi, utamaduni na urithi wa mji mkongwe wa Zanzibar Bado inahitaji kutunzwa ili kudumisha mila, desturi, utamaduni na urithi wa mji mkongwe wa Zanzibar
Read more »
22:25

Msumbuji yataka vikao vya pamoja kati yake na Tanzania kurudishwa Msumbuji yataka vikao vya pamoja kati yake na Tanzania kurudishwa

Msumbiji imeiomba Tanzania kufikiria uwamuzi wa kurejeshwa tena utaratibu wa kuwa na vikao vya pamoja kati ya pande hizo mbili ambao ulileng...

Read more »
22:26

Vyama vya wanafanyakazi vina haki ya kufanya kazi zake kikamilifu Vyama vya wanafanyakazi vina haki ya kufanya kazi zake kikamilifu

Vyama vya Wafanyakazi vinapaswa kupatiwa haki na fursa zote zinazostahiki katika kuruhusiwa kufanya k...

Read more »
13:21

Serikali yatoa mkono wa poleni kwenye kijiji cha Mchekeni -Kiwengwa Serikali yatoa mkono wa poleni kwenye kijiji cha Mchekeni -Kiwengwa

Serikali itaangalia hali halisi ya namna  gani itakavyotoa maamuzi muwafaka kuhusiana na  Wananchi wan...

Read more »
09:42

Je kuna utata katika hili? Je kuna utata katika hili?

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Nimelazimika leo Jumamosi, tarehe 18 Februari, 2012 kutoa taarifa hii kwa vyombo vya habari kufuatia mkutano ...

Read more »
10:34

Wafadhili watakiwa kuongeza nguvu za kujenga madarasa zaidi ili kwa ajili ya kuimarisha Elimu Zanzibar Wafadhili watakiwa kuongeza nguvu za kujenga madarasa zaidi ili kwa ajili ya kuimarisha Elimu Zanzibar

Ipo haja kwa Washirika na Wafadhili wa Maendeleo katika nyanja za Elimu ya Dini ndani na nje ya Nchi kufikiria zaidi wazo la kuongeza nguvu ...

Read more »
10:24

Umuhimu wa masomo kwa watoto Umuhimu wa masomo kwa watoto

Wazazi wanapaswa kujenga utaratibu wa kufuatilia nyendo za watoto wao kimasomo Maskulini kwa lengo la kukabili vyema Changamoto wanazopamban...

Read more »
10:16

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto wao mapema katika vituo vya maandalizi Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto wao mapema katika vituo vya maandalizi

Wazazi na walezi Nchini wamehimizwa kujenga tabia ya kuwapeleka watoto wao katika Vituo vya Maandalizi kwa lengo la kuwajengea mazingira bor...

Read more »
10:01

Hali ya amani na utulivu ni nguzo bora ya maendeleo Zanzibar Hali ya amani na utulivu ni nguzo bora ya maendeleo Zanzibar

Wananchi walio wengi wa Zanzibar wanaendelea kujivunia mwamvuli wa baraka ya hali nzuri ya Kisiasa Zanzibar ambayo wako tayari kuiimarisha i...

Read more »
21:45

Twafanana kwa kila hali Twafanana kwa kila hali

 Huu ni mji wa zamani wa Bwagamoyo sasa ni BAGAMOYO karibu kabisa na bandari ya Bagamoyo  Ni moja wapo ya nyumba za mji Mkongwe za Zanzibar...

Read more »
21:28

Tunabadilishana mawazo tu au? Tunabadilishana mawazo tu au?
Read more »
11:24

Mwanzo na Mwisho wa Tamasha la Sauti za Busara wasanii wa Zanzibar wamejifunza nini? Mwanzo na Mwisho wa Tamasha la Sauti za Busara wasanii wa Zanzibar wamejifunza nini?

  Chebli Masaidie Tamasha la Sauti za Busara ambalo lilianza February 8,2012 lilifikia ukingoni jana baadaya ya wasanii kutoka walipoweza ku...

Read more »
10:49

Nneka afanya shoo Sauti za Busara 2012 Nneka afanya shoo Sauti za Busara 2012

Mwimbaji wa Nigeria, Nneka Egbuna amefanya shoo ya aina yake na ya kihistoria katika tamasha la tisa la busara. Shoo yake ya jana imefunga ...

Read more »
10:05

Uchaguzi UZINI Uchaguzi UZINI

Kesho ni siku ya upigaji kura kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la UZINI, kitu cha msingi kwa mpigaji kura ni kufaata masharti kama ambavyo yam...

Read more »
22:54

Ubunifu ni kitu muhimu kwa wasanii Zanzibar Ubunifu ni kitu muhimu kwa wasanii Zanzibar

 Hii ni moja ya sarafu kutoka Bara Arabu ambayo kwa kweli imeweza kurudishwa tena katika matumizi mengine badala ya kuwa sarafu ya kununulia...

Read more »
22:43

Shamra shamra za tamasha la Sauti za Busara zashamiri kisiwani Zanzibar Shamra shamra za tamasha la Sauti za Busara zashamiri kisiwani Zanzibar

 Mwandishi wa ITV akiwa katika tamasha la Sauti za Busara Zanzibar tamasha ambalo linaendelea kwenye ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar Kikund...

Read more »
22:29

Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar akisalimiana na wageni waliofika ofisini kwake hivi karibuni Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar akisalimiana na wageni waliofika ofisini kwake hivi karibuni
Read more »
09:57

Nini tunataka vijijini? Nini tunataka vijijini?

sasa kazi, ikiwa vijana hawa wameweza kubuni POOL lao wenyewe badala ya kuendela kuliona kwenye TV au kwenye miji mikuu tu au kwenye baa , n...

Read more »
09:43

Forest Heroes to Receive Special Recognition as International Year of Forests Draws to Close Forest Heroes to Receive Special Recognition as International Year of Forests Draws to Close

 People who have made special contributions toward protecting forests and forest communities will recei...

Read more »
13:26

Vyama vya ushirika vtakiwa kufuata maadili Vyama vya ushirika vtakiwa kufuata maadili

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema suala la kuzingatia maadili ndani ya ...

Read more »
16:01

WORLD YOUTH VOICE CONCERN OVER EMPLOYMENT PROSPECTS AND CALL FOR INVESTMENT INCREASE WORLD YOUTH VOICE CONCERN OVER EMPLOYMENT PROSPECTS AND CALL FOR INVESTMENT INCREASE

Young people around the world are deeply concerned about a lack of job opportunities and are calling for an increase in investment in this a...

Read more »
08:11

Hivi kondomu ni kinga ya Ukimwi au Mimba? Hivi kondomu ni kinga ya Ukimwi au Mimba?

Haya ndio maelezo ya mpiga debe au?

Read more »
20:44

Je hivi ndivyo tunavyoyaenzi makaburi ya waasisi wa taifa la Zanzibar? Je hivi ndivyo tunavyoyaenzi makaburi ya waasisi wa taifa la Zanzibar?

Hii ndiyo hali halisi ya kaburi la Marehem TIP TIP linavyoonekana katikati ya viunga vya mji mkongwe wa Zanzibar, ingaje juhudi zinachukuli...

Read more »
20:14

Mkutano wa uchaguzi mkuu wa ZPC uliofanyika katika ukumbi wa EACROTANAL tarehe 29.01.2012 Mkutano wa uchaguzi mkuu wa ZPC uliofanyika katika ukumbi wa EACROTANAL tarehe 29.01.2012

Read more »
22:30

THE BEAT FESTIVAL THE BEAT FESTIVAL

KING KIKI & WAZE SUGU Rumba/Muziki wa Dansi King Kiki is one of the legends of Tanzanian Rumba. He started playing twist in 1958 and l...

Read more »
21:37

SAUTI za Busara bado tupo makini na tunathamini kuwepo Zanzibar SAUTI za Busara bado tupo makini na tunathamini kuwepo Zanzibar

Dj Yussuf wakatti akiwa na mahojiano na waandishi wa habari, amesema kwamba licha ya ukata wa fedha unaowakabili lakini, bado wataendela kuw...

Read more »
21:30
 
Top