Hii ni moja ya sarafu kutoka Bara Arabu ambayo kwa kweli imeweza kurudishwa tena katika matumizi mengine badala ya kuwa sarafu ya kununulia bidhaa, na badala yake imekuwa ni pambo kwa akiba dada ingawaje maandishi yake hayafanani na hayo matumizi ambayo ni maalumu kwa ajili ua kuweka kwenye kidani
Baadhi ya washiriki wa tamsha la Sauti za Busara wakiangalia ustadi uliotumika wa kuzibadilisha sarafu kuwa mapamba kwa akina dada

0 comments:

 
Top