Kesho ni siku ya upigaji kura kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la UZINI, kitu cha msingi kwa mpigaji kura ni kufaata masharti kama ambavyo yameelekezwa na tume ya uchaguzi Zanzibar ili kuepeuka usmbufu usio wa lazima

0 comments:

 
Top