Huu ni mji wa zamani wa Bwagamoyo sasa ni BAGAMOYO karibu kabisa na bandari ya Bagamoyo
 Ni moja wapo ya nyumba za mji Mkongwe za Zanzibar iliyopo katika mtaa wa Sangani
Ingawaje nyumba kimuundo zinafanana lakini zipo katika miji na maeneo tofauti hapa ni OLD TOWN Mombasa(Mambo sasa) Kenya

0 comments:

 
Top