sasa kazi, ikiwa vijana hawa wameweza kubuni POOL lao wenyewe badala ya kuendela kuliona kwenye TV au kwenye miji mikuu tu au kwenye baa , ni hatua nzuri kwao na vijiji vyao, kwani wameweza kubuni na kupata fursa ya kucheza mchezo wa POOL bila ya tatizo lolote, ingawaje wanahitaji msaada wa ziada kufikia wenzao wa mijini, unadhani nini kifanyike kuwaendeleza vijana hawa?

0 comments:

 
Top