Hii ndiyo hali halisi ya kaburi la Marehem TIP TIP linavyoonekana katikati ya viunga vya mji mkongwe wa Zanzibar, ingaje juhudi zinachukuliwa kutoka kwa jumuiya zisizo za kiserikali, lakini bado inaonekana waakazi wa mji mkongwe hawathamini na wala hawaoni umuhimu wa kaburi hili la TIP TIP kwani yeye si MVUMBUZI kutoka ulaya, lakini kaburi hili lingekuwa pengine ni la miongoni mwa wale wavumbuzi waliopewa kipao mbele katika upwa huu wa Afrika ya Mashariki ninaimani kwambu kaburi hili lingelutunzwa na kuhifadhiwa vizuri na wale lisingukuwa chafu kama hivi, je suala hili la kutoka kuthamini chako hadi lini? ipo haja ya kubadilika na siyo kubdailishwa na bosho za wafadhili.

0 comments:

 
Top