India inakusudia kuongeza nafasi za masomo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi wa Tanzania katika kipindi kijacho cha mwaka 2012 katika fani ya ki...
Serikali ya Zanzibar yaahidi kukifanyia marekebisho kiwanda cha uchapaji cha serikali kilichopo Mkele Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kukipatia vifaa na Mitambo ya kisasa kiwanda cha Idara ya upigaji chapa cha Serikali ili kiteke...
Ukatili dhidi ya wanawake na watoto Zanzibar
Kasi ya vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto inayoonekana kuendelea kushamiri nchini inatishia amani ndani ya jamii na hapana bud...
Chuo cha Mafunzo Zanzibar chashauriwa kuwa na mafunzo ya kilimo kwa vijana ili yaweze kuwasaidia katika maisha yao ya baadae
Uongozi wa Idara Maalum ya Chuo cha Mafunzo Zanzibar umeshauriwa kuandaa utaatibu maalum wa kutoa mafunzo ya Kilimo kwa Vijana kwa lengo la ...
UN Secretary-General's
SG: Good morning, ladies and gentlemen. It is a great pleasure to meet you. And I look forward to seeing you later this evening during the a...
Government of Sweden provides $5.15 million to United Nations Tanzania
Sweden’s Deputy Head of Mission and Head of Development Cooperation Division Maria van Berlekom, and the United Nations Resident Coordinator...
Waislamu watakiwa wawe waadilifu
Waumini wa Dini ya Kiislamu wameendelea kukumbushwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, hekima, busara na uaminifu ili kufikia kilele cha ...
Migrants’ voices must be heard in today’s all too often biased, polarized and negative debate on migration, says IOM’s World Migration Report 2011: Communicating Effectively about Migration.
The report states that although we live in an era of the greatest human mobility in recorded history, with greater acknowledgement that migr...
Mipango imara ya uwekezaji yaimarishwa Zanzibar
Azma ya Serikali ya Kuunda Wizara inayosimamia uwezeshaji ni kumfanya Mwananchi ajitegemee kufanyakazi kwa kutumia nguvu kazi badala ya kuwa...
Timu za mpira Kitope zapata jezi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haipendelei kuona masuala ya Kidini yanaingizwa ndani ya fani na Michezo . Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzi...
Khoja Shia ithna-ashari yatoa msaada Kitope
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi amelipongeza Shirikisho la Kimataifa la Jumuiya ya khoja Shia ithna-asheri kwa juhudi zake za...
Kilele cha tamsha la 100% Pemba
Na Haji Nassor Wananchi wa Kisiwa cha Pemba walijumika kwa pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ...
Wizara ya mambo ya Nje ihakikishe sara ya kuimarisha uchumi wa Tanzania
Kazi kubwa inayoikabili Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Tanzania ni kuhakikisha ile sera ya Mambo ya nje ya kuel...
Unyanyapa ndio chanzo cha kupunguza maambukizi ya VVU
Kuendelea kuwepo kwa unyanyapaa ndani ya Jamii kumeelezwa kupunguza kasi ya Taifa na Taasisi zake za kupambana na ukimwi Kitaifa na Kimataif...
Tangazo zuri lakini je utekelezaji upo?
ni kitu cha busara kwa uongozi wa AZAM MARINE na FAST FERRIES MATAWI YA PEMBA, kwa kutoa tangazo hili lenye muelekeo wa kuwaheshimu abiria n...
Ni tunda zuri lakini?
ki mtazamo ni tunda zuri sana kama ambavyo linaonekana katika picha, lakini utakapojaribu kutaka kilila litakushinda kutokana na wadudu (fun...
Usafiri wetu bado si salama
Ingawaje chombo kizuri kwa nje, lakini uingia ndani ya boti hii haina tofauti na tanuri ya kuvumbikia mbata, joto kali litokanalo na ukosef...
Ripoti ya Mv Spice Islanders itawasilishwa hivi karibuni
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea Ripoti Maalum siku chache zijazo kutoka kwa Tume iliyoundwa kuchunguzwa chanzo cha kuz...