Vyama vya wanafanyakazi vina haki ya kufanya kazi zake kikamilifu
Vyama vya Wafanyakazi vinapaswa kupatiwa haki na fursa zote zinazostahiki katika kuruhusiwa kufanya k...
Vyama vya wanafanyakazi vina haki ya kufanya kazi zake kikamilifu
Vyama vya Wafanyakazi vinapaswa kupatiwa haki na fursa zote zinazostahiki katika kuruhusiwa kufanya k...
Serikali itaangalia hali halisi ya namna gani itakavyotoa maamuzi muwafaka kuhusiana na Wananchi wan...
Je kuna utata katika hili?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Nimelazimika leo Jumamosi, tarehe 18 Februari, 2012 kutoa taarifa hii kwa vyombo vya habari kufuatia mkutano ...
Ipo haja kwa Washirika na Wafadhili wa Maendeleo katika nyanja za Elimu ya Dini ndani na nje ya Nchi kufikiria zaidi wazo la kuongeza nguvu ...
Wazazi wanapaswa kujenga utaratibu wa kufuatilia nyendo za watoto wao kimasomo Maskulini kwa lengo la kukabili vyema Changamoto wanazopamban...
Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto wao mapema katika vituo vya maandalizi
Wazazi na walezi Nchini wamehimizwa kujenga tabia ya kuwapeleka watoto wao katika Vituo vya Maandalizi kwa lengo la kuwajengea mazingira bor...
Hali ya amani na utulivu ni nguzo bora ya maendeleo Zanzibar
Wananchi walio wengi wa Zanzibar wanaendelea kujivunia mwamvuli wa baraka ya hali nzuri ya Kisiasa Zanzibar ambayo wako tayari kuiimarisha i...
Huu ni mji wa zamani wa Bwagamoyo sasa ni BAGAMOYO karibu kabisa na bandari ya Bagamoyo Ni moja wapo ya nyumba za mji Mkongwe za Zanzibar...
Mwanzo na Mwisho wa Tamasha la Sauti za Busara wasanii wa Zanzibar wamejifunza nini?
Chebli Masaidie Tamasha la Sauti za Busara ambalo lilianza February 8,2012 lilifikia ukingoni jana baadaya ya wasanii kutoka walipoweza ku...
Nneka afanya shoo Sauti za Busara 2012
Mwimbaji wa Nigeria, Nneka Egbuna amefanya shoo ya aina yake na ya kihistoria katika tamasha la tisa la busara. Shoo yake ya jana imefunga ...
Kesho ni siku ya upigaji kura kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la UZINI, kitu cha msingi kwa mpigaji kura ni kufaata masharti kama ambavyo yam...
Hii ni moja ya sarafu kutoka Bara Arabu ambayo kwa kweli imeweza kurudishwa tena katika matumizi mengine badala ya kuwa sarafu ya kununulia...
Mwandishi wa ITV akiwa katika tamasha la Sauti za Busara Zanzibar tamasha ambalo linaendelea kwenye ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar Kikund...
Nini tunataka vijijini?
sasa kazi, ikiwa vijana hawa wameweza kubuni POOL lao wenyewe badala ya kuendela kuliona kwenye TV au kwenye miji mikuu tu au kwenye baa , n...
Forest Heroes to Receive Special Recognition as International Year of Forests Draws to Close
People who have made special contributions toward protecting forests and forest communities will recei...
Vyama vya ushirika vtakiwa kufuata maadili
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema suala la kuzingatia maadili ndani ya ...
WORLD YOUTH VOICE CONCERN OVER EMPLOYMENT PROSPECTS AND CALL FOR INVESTMENT INCREASE
Young people around the world are deeply concerned about a lack of job opportunities and are calling for an increase in investment in this a...
Hii ndiyo hali halisi ya kaburi la Marehem TIP TIP linavyoonekana katikati ya viunga vya mji mkongwe wa Zanzibar, ingaje juhudi zinachukuli...
THE BEAT FESTIVAL
KING KIKI & WAZE SUGU Rumba/Muziki wa Dansi King Kiki is one of the legends of Tanzanian Rumba. He started playing twist in 1958 and l...
Dj Yussuf wakatti akiwa na mahojiano na waandishi wa habari, amesema kwamba licha ya ukata wa fedha unaowakabili lakini, bado wataendela kuw...
Rasimu ya MUSWADA wa Sheria
Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Mfuko wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ni hatua muhimu katika kuweka taratibu zitakazoliwezesha Baraza hilo ...
Kikao cha kamati ya Muungano wa Tanzania
Kikao cha Kamati ya pamoja ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kimekutana chini ya Mwenyekiti w...
Hili je? Hili linapendeza lakini si kwa ajili ya kulala mburu matari bali wenye pesa tu
MABADILIKO YA WASANII WATAKAOTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA
Busara Promotions ina matangazo mawili muhimu, kuhusu wasanii wawili waliopangwa kutumbuiza katika tamasha la mwaka huu. Hata hivyo wasanii ...