Zanzibar International Film Festival (ZIFF) imeandaa MINI ZIFF RED CARPET katika ukumbi wa New Maisha Club siku ya Jumapili tarehe 22 Januar...
Viongozi watakiwa kupunguza urasimu
Viongozi wa Taasisi zinazosimamia Miradi ya Jamii Nchini hasa Halmashauri za Wilaya wameshauriwa kupunguza urasimu usio wa lazima katika ute...
Wanafunzi watakiwa wawe makini na misaada wanayopatiwa
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi amesema ni vyema kwa Wanafunzi kuzingatia kuwa misaada inayotolewa na Washirika wa Maendeleo ...
India to Provide $100 Million Credit Line to Mali, PTI
India will provide a line of credit worth $100 million (about Rs 520 crore) to Mali for helping the western African nation to expand its en...
India to Help Africans Start Small Businesses, PTI
India will set up 10 incubation centres for Rs 50 crore this year with an aim to provide a platform for people in Africa to start small uni...
Ndege ya kijasusi ya Marekani RQ-170 iliyokamatwa Iran hvi karibuni
Kukamatwa kwa ndege hii ni pigo kubwa kwa taifa la Marekani na watawala wake
Marehemu John Mutunga, wakati wa Uhai wake akiwa na Mkewe, ambapo chanzo cha kifo chake kilitokana na kuumia
KIKUNDI CHA UTAMADUNI CHA JESHI LA POLISI KIKITOA BURDANI KATIKA HAFLA YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINI NA UFUNGUZI WA NYUMBA ZA POLISI PAJE IKIWA NI SHAMRA SHAMRA ZA MAADHIMISHO YA KUSHEREHEKEA MIAKA 48 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.
Mara yatoa mchango kwa SMZ
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amepokea mchango wa pole shilingi milioni 20,000,000/- kutoka kwa Uongozi wa Serikal...
Palm Hotel ya Pwani Mchangani yapongezwa kwa huduma bora
Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Palma iliyoko Pwani Mchangani Mkoa Kaskazini Unguja wamepongeza kwa juhudi zao za kutoa huduma bora kwa ...
Balozi Seif apongeza maandalizi ya sherehe za Mapanduzi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amepongeza maandalizi mazuri yaliyofikiwa katika zoezi zima la Maadhimisho ya Shereh...
Imani ya wananchi kwa Jeshi la Polisi
Imani ya Wananchi na hata Wawekezaji na wageni wanaoingia Nchini kwa Jeshi la Polisi itaondoka iwapo uadilifu na uaminifu miongoni mwa Askar...
Bajaj Unveils Its Four-wheeler RE60, ET BUREAU
The world's largest three-wheeler maker Bajaj Auto has unveiled its first four-wheeler, the RE60, a four-seater intra-city passenger ve...
India's Real GDP to Touch $2.5 Trillion by 2021: PHD Chamber, PTI
India's real GDP is expected to touch USD 2.5 trillion by 2021 as the country's macroeconomic fundamentals, like savings, investmen...
Soko la jumapili lafufuka kwa mara nyengine tena Zanzibar mara baada ya kufa kwa miaka kadhaa sasa
Wajasiri amali walioanzisha soko la Jumapili wametakiwa kuhakikisha kwamba azma yao waliyoibuni na kuianzisha wanaendelea kuifanyia kazi na ...
Makamo wa Pili atoa mkono wapole Tumbe-kisiwani Pemba
Wananchi wa Kijiji cha Tumbe kiliyomo ndani ya Wilaya ya Micheweni Mkoa Kaskazini Pemba wametakiwa kuwa na subra katika kipindi hichi kigumu...
Masoko mazuri kwa wavuvi ni chanzo cha kuinui uchumi wa nchi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema hatua za Serikali za ujenzi wa Masoko katika maeneo tofauti Nchini imelenga ...
Ni jumba maarufu lijulikanalo kwa jina la JUMBA LA DHAHABU ambalo lipo katika mwambao wa bahari ya Bagamoyo, muonekano wake halina tofauti sana na zile NGOME ambazo zilikuwa zikutumika wakati wa Ukolini kwenye bara hili la Afrika ya Mashariki
Hii ni sehemu ya mbele ya jumba hili ambalo linasemkana pia limewahi kuwa jela hapo awali Hii ni sehemu ya nyuma kama ambavyo zilivyo ngo...
Elimu kwa maisha bora Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Vijana kwamba huu si wakati wa mchezo katika suala zima la kujitaf...
Uchunguzi wa Kiafya katika nchi za Afrika ya Mashariki ni tatizo linalowasumbua watumishi wengi wa nchi wanachama
Ukosefu wa uchunguzi wa Kiafya kwa Wafanyakazi walio wengi katika Taasisi za umma na hata zile za kibinafsi umekuwa ukiendelea kulaumiwa kwa...
Ipo haja kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania kwa kuweza kuitunza na kuifanyia marekebisho Bandari kongwe ya Bagamoyo kuliko kuiwacha kama hivi ilivyo hivi sasa
Taifa lajenga matumani mapya baada ya taasisi nyingi kujitokea katika kufanya utafiti
Taifa limejenga matumaini makubwa ya kupata mafanikio kufuatia Taasisi mbali mbali Nchini kujihusisha na masuala ya Utafiti katika utekeleza...
Serikali imejiandaa vyema katika upokeaji maoni juu ya mabdaliko ya katiba
Taifa Limelazimika kujiandaa kutoa fursa kwa Wananchi kutoa Maoni yao kupitia Mfumo wa Tume itakayoundwa na Rais wa Jamuhuri ili kuwapa nafa...
Tanzania yashauriwa kuwa na mikakatia imara kati yake na Oman
Upo umuhimu wa kuwekwa mikakati ya kuwepo kwa Kamati ya pamoja kati ya Tanzania na Oman kwa lengo la kuimarisha Ushirikiano wa muida mrefu w...
Kila mtu anahaki ya kutoa moni kwa mujibu wa sheria
Mchakato wa kupata katiba Mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania utakamilika vyema na kufanikiwa endapo Wananchi wa Tanzania wenye kufikia...
Ujenzi unaoendelea ndani ya mji Mkongwe Zanzibar jee unafuata taratibu au ni tamaa ya fedha tu?
Wafanyakazi nchini wameombwa kusameheana katika kipindi hiki cha mwaka mpya
Watendaji wa Sekta za Umma na hata zile za Kibinafsi wameombwa kusameheana endapo kuna makosa yaliyojitokeza ndani ya mwaka 2011 ili kujipan...
Ni dhahiri kwamba jamii ya Watanzania walio wengi si watunzani bali ni wabomowaji tu, hii ni jiwe ambalo limetengenezwa kwa gharama kuwa na mfadhili ambali linaitambulisha bustani ya Forodhani Zanzibar lakini Mamlaka husika hazijaona umuhimu wa kuyatunza mawe haya bali ni kuyatupa kama ambavyo yanaonekana katika picha badala ya kuwekwa katika sehemu stahiki ya busatani ya Forodhani