The Fukushima accident raised questions that must be addressed by developing countries considering nuclear energy. The accident at Japan'...
Maadhimisho ya siku ya HAKI YA KUJUWA Zanzibar 28.09.2011
kwa mara ya kwanza nchini Tanzania wameweza kuadhimisha siku ya haki ya kujuwa nchini kote. Maadhimisho hayo ambayo ni ya kwanza tangu kuasi...
Utegaji nyuki kwa njia ya mashimo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Uchimbaji wa mashimo kwa ajili ya utegaji wa samaki { Maarufu ...
Familia hii inahitaji msaada wa hali na mali kwa ajili ya kuweza kurudisha hali ya mtoto huyu kuwa bora zaidi
Ni ipi Spice Islanders kati ya hizo mbili?
Ipo haja kwa taasisi au mtu ambaye aliweza kutupatia hii picha ya kwanza ambayo inadawa kuwa ndio Spice Islanders kuweza kutuambaia ukweli n...
Ziara ya Sauti za busara
Busara Promotions imeanzisha ziara ya Afrika Mashariki kwa maonyesho Katika kuongeza idadi ya maonyesho na kumbi ndani ya Afrika Mashariki, ...
Watanzania waaswa kuilinda amani iliyopo nchini
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Watanzania wanapaswa kuendelea kuilinda hazina ya amani i...
Kila ifikapo tarehe 22 Septemba jamii ya wanamapinduzi hapana shaka kumkumbuka Abdul-rahman Babu
Marehemu Professor Abdulrahaman Mohamed Babu alikuwa mwanasiasa, mwanamapinduzi ambaye alikuwa ni mkubwa mkubwa na muhimu katika upwa wa Afr...
Wabunge na Wawakilishi washiriki kwenye Arobaini ya Marehemu Maalim Mussa Silima
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mamia ya Wananchi,Viongozi wa Serikali, siasa,Wabunge na Wajumbe wa Baraza la ...
Serikali ipo makini katika kuhakikisha usalama wa wasafiri
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwa makini katika kuhakikisha Maisha ya Wananchi wanaotumia usafiri kwa Njia ya Bahari unakuwa...
Balozi Seif aitaka jamii kuondoa khofu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameitaka jamii kuondoa hofu ya dhana kwamba Mahkama imefuta kesi inayowakabili watu ...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (kukiimarisha zaidi kitengo cha maafa Zanzibar)
Familia za wananchi waliofariki na kupotea katika ajali ya Meli ya M.V Spice Islanders usiku wa kuamkia Tarehe 10 Septemba mwaka huu wameish...
SENSEI RUMADHANI FUNDI
Wakati tunaelekea katika shangwe za miaka 50 ya Uhuru, tunawaletea makala maalumu ya matunda ya vijana walizozaliwa ndani ya miaka 50 ya uhu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI { AFRICA BARICK GOLD }
Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya migodi Afrika { AFRICA BARICK GOLD } inakusudia kuandaa ampango wa kusaidia vifaa vya uokozi kw...
TAARIFA YA BARAZA LA WAWAKILISHI
TAARIFA YA KAMATI YA MAWASILIANO NA UJENZI YA BARAZA LA WAWAKILISHI-ZANZIBAR KUHUSIANA NA MAAFA YA KUZAMA KWA MELI YA SPICE ISLANDER YALIYOT...
UN pays tribute to the victims of Zanzibar boat accident
The United Nations System in Tanzania observed a minute of silence on Monday this week in remembrance of the victims of the boat that capsiz...
HIZB UT-TAHRIR MKONO WA RAMBI RAMBI
HIZB UT-TAHRIR AFRIKA MASHARIKI YATOA RAMBI RAMBI KWA MSIBA WA KUZAMA KWA MELI. Hizb ut-Tahrir Afrika Mashariki imepokea kwa huzuni na m...
TANGAZO LA ZANTEL KWA WANAOTAKA KUCHANGIA, KUTOA NA KUPATA TAARIFA
Kwa kutoa taarifa za maiti zilizopatikana, kupata taarifa za abiria waliopotea katika ajali ya meli Spice Islanders piga kwa wahusika namba ...
Mungu awape Subra wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha Msiba!
Na Ramadhan Himid, Zanzibar Mengi yamesemwa na yanaendelea kusemwa juu ya msiba mkubwa uliolikumba taifa huko Zanzibar katika usiku wa kuam...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MV.SPICE ISLANDER
PRESS RELEASE Maiti tano zinazofikiriwa kuwemo kwenye meli ya m.v spice zimeokot...
Secretary-General's statement on the Zanzibar, Tanzania ferry disaster - New York, 11 September 2011
Statement attributable to the Spokesperson for the UN Secretary-General on the Zanzibar, Tanzania ferry disaster The Secretary-General is p...
Saidia Zanzibar sasa
Hutuba ya Kilaini Kagera Press Club
MKUTANO MKUU WA KAGERA PRESS CLUB (KPC) Septemba 10, 2011 PONGEZI Kwanza ya yote napenda kuwashukuru kwa heshima ya kunialika niwe mgeni ras...
Ms Spice Islander jinsi ilivyozama
Hii ndio boti ya Ms Spice Islande ambayo imezama tarehe 11.09.2011 katika bahari ya Nugwi, na hii ni boti ya pili ambayo imegharimu maisha ...
PRESS RELEASE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Urasimu unaoendelea kuwepo ambao huwapata wananchi wanaoomba ...
Mbunge mtarajiwa mwaka 2015
Inaonekana kwamba hizi ni zama za vijana na maakazi badala ya zama za uwazi na ukweli kama ambavyo imezoweleka, kijana Thabita picha ambaye ...
Tutakuwa na usafiri mbovu wa barabarani hadi lini?
Ajali za barabari zimekuwa zikichukuwa uhai wa watu wengi nchini Tanzania na hasa mabasi yafanyayo safari za mikoani kwenda jijini Dar-es-sa...
Press Release
PRESS RELEASE Ujenzi wa Afisi za Wabunge ndani ya Majimbo ni uamuzi sahihi wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha h...
Baada ya Ramadhani kumalizika, kilichobaki sasa ni kujiandaa kwenda Makka kuhiji kwa mtu mwenye uwezo
Huyu ndie Meneja wa Mtegani Fm?
Bw.Saumu Ali kwa sasa ndie Meneja Mkuu wa Mtegani Radio Fm iliyopo Makunduchi-Zanzibar Meneja Saumu akibadilishana mawazo na mmoja kati ya...