Inaonekana kwamba hizi ni zama za vijana na maakazi badala ya zama za uwazi na ukweli kama ambavyo imezoweleka, kijana Thabita picha ambaye kwa sasa ameanza harakati za kusaka kiti cha ubunge, kiti cha Morogoro Mjini kwa kupitia tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)
Tabitha kwa sasa ni mfanya kazi ambaye ameajiriwa kwenye shirika la Kijerumani jijini Dar-es-salaam lakini pia ni mmliki wakituo cha watoto yatima pale Morogoro mjini

0 comments:

 
Top