Mjumbe wa Kamati wa Siasa ya CCM Wilaya ya Kaskazini B Mama Asha Suleiman Iddi akiufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Jimbo la Kito...
SMZ na Vikosi vya ulinzi vyapongezwa kwa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ushirikiano na Vikosi vya Ulinzi, pamoja na Taasisi za Kiaraia imepongezwa kwa hatua iliyochukuwa kat...
Wachina wato msaada kwa SMZ kufuatia kuzama kwa MV Skagit hivi karibuni
Jamuhuri ya Watu wa China imeahidi kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
SMZ yaziagiza kampuni kuleta meli mpya
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeziagiza Kampuni na Taasisi za Uwekezaji ndani na nje ya Nchi kuagiza Meli mpya za usafirishaji w...
SUMATRA yatakiwa kufanya kazi kwa kushirkiana na ZMA
Serikali zote mbili ya Muungano na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeziagiza Mamlaka zinazosimamia usafiri wa Baharini za Sumatra ya Tanzani...
Viongozi wa kitaifa nao wafika katika uwanja wa Maisara kwa ajili ya kushiriki kwenye zoezi la utambuzi wa maiti zilizookolewa kutoka kwenye Mv Skagit
Ni miongoni mwa viongozi wa dini ya kiislamu waliohudhuria kwenye uwanja wa Maisara Suleiman kwa ajili ya kushirikiana na viongozi wa ki...
Balozi Seif awataka wananchi kuiamini taarifa zitolewazo na Serikali
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewanasihi Wananchi kuendelea kuiamini Serikali katika kupokea Taarifa zake hasa w...
SMT yaahidi kuongeza ushirikiano na SMZ katika kufuatilia ajali ya M.V Skagit
Serikali ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa litaendelea kutoa ushirikiano na msaada kwa Serikali ya...
Ajali ya meli Zanzibar 18.7.2012
Waziri Mwinyi Haji akitoa taarifa ya ajali kwa waandishi wa habari Ni baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika eneo la bandari kwa...
Wananchi watakiwa kuhiriki ipasavyo kwenye zoezi la sensa
Wananchi wameombwa kutoa Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa kwa kutoa taarifa sahihi za kaya zao ili kupata takwimu sahihi kwa ajili ya ...
Kamati ya sensa yakutana Zanzibar
Kikao cha Kamati ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania kimefanyika Mjini Zanzibar Chini ya Mwenyekiti wake Waziri Mkuu wa Serikali y...
SMZ yaahidi kushirikia na Light Years IP ya Marekani
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani kupitia Kampuni ya Light Years IP inaandaa Mpango wa Kibiash...
SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa uamuzi wake wa kuandaa mpango mpya wa nadharia ya Utalii kwa wote ambao umelenga kuwa na ...
Sudan yatakiwa kuaingalia mazingira ya Zanzibar
Wawekezaji wa Jamuhuri ya Sudan wameombwa kuangalia vyema mazingira ya Zanzibar katika dhana nzima ya kuwekeza Vitega Uchumi vyao vinakavyo...
Chuo cha Utalii Zanzibar chatakiwa kuimarimasha mafunzo ili kuepuka vimbi la vijana kutoka nje ya Zanzibar kuajiriwa kwa wingi katika sekta ya Utalii
Matatizo ya kutafuta Wafanyakazi wa Hoteli za Kitalii kutoka Nje ya Zanzibar yatapungua kwa kiasi kikubwa kama sio kuondoka kabisa iwapo Wa...
Balozi Seif aomba mgogoro ulioibuka katika eneo la Kisaka saka limalizike ili kudumisha hali ya ujirani mwema kati ya wananchini na JWTZ
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameelezea umuhimu wa kuondoshwa sintafahamu iliyopo baina ya Wananchi wa eneo la Ki...
Viongozi wa kidini pamoja na wazazi wanouwezo mkubwa wa kujenga misingi imara ya kuimarisha maadili kwa vijana
Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na Wazazi wanahitajika kuendelea kujenga Misingi ya Maadili imara ambayo inaonekana kulega lega hasa kwa...
Wananchi watakiwa kufanya mazowezi kwa jaili ya kuimarisha afya zao
Jamii Nchini imeangizwa kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi ya Viungo kila siku ili kuimarisha miili yao sambamba na kujihakikishia uzi...
Zanzibar bado inafursa nzuri katika shughuli za kiuchumi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Mazingira ya Kimaumbile yaliyoizunguuka Zanzibar bado yana fursa nzuri ya k...