Waziri Mwinyi Haji akitoa taarifa ya ajali kwa waandishi wa habari
Ni baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika eneo la bandari kwa ajili ya kupata taarifa zaidi ya jali hiyo ya meli
Bati ya Zanzibar One ikiwa tayari imeshafunga gati kwa ajili ya kushusha majeruhi waliopatikana kawenye boti iliyozama katibu na kisiawa cha Bawe
Wananchi wakiwa pembezoni mwa bahari ya kizingo wakifuatailia mambo ya uokoaji wa watu waliozama
Ni maandalizi ya eneo la Maissara Suleiman kwa ajili ya kuweza kuziweka maiti na kutambuliwa na jamaa zao
Waandishi na watangazaji wa kituo cha Coconut Fm Radio wakiwa kwenye uwanja wa Maisara
Askari wa vikosi mbali mbali pamoja na raia kwa pamoja wakiwa kwenye eneo hili la uwanja wa Maisara Suleiman ambalo ni eneo maalumu kwa ajili ya shughuli za kitaifa
Askari wa kikozi cha KMKM ambaye amevalia kirai akigawa Glove kwa askari ambao wataweza kupokea maiti
Ni baadhi ya miili ya maiti ambayo ilifika mapema jioni na tayari kwa ajili ya kukabidhiwa kwa jamaa zao mara itakapo tambulika

0 comments:

 
Top