Ni miongoni mwa viongozi wa dini ya kiislamu waliohudhuria kwenye uwanja wa Maisara Suleiman kwa ajili ya kushirikiana na viongozi wa kitaifa katika msiba huu wa M.v Skagit
 Balozi wa Marekeni nchini akiwa pamoja na baadhi ya viongozi wa Zanzibar kwenye uwanja wa Maisara
 Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi mara aliapofika kwenye uwanja wa Maisara alilakiwa na viongozi mbali mbali wa vikozi vya ulinzi na usalama
 Viongozi wa Kidini pamoja na wa Kijjeshi wakiwa tayari kwa ajili ya kutoa heshima yao kwa viongozi wa kitaifa waliokuwa wakifika kwenye uwanja wa Maisara
 Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Rais Kikwete mara baada ya kufika kwenye uwanja wa Maisara
 Rais Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa akipatia mara alipofika kwenye uwanja wa Maisara
 Vikozi vya ulinzi na usalama wakiwa tayari wamejipanga kwa ajili ya kupokea maiti
 Vikosi vikipokea maiti iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye gari ya kijeshi
 Vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na vya msalaba mwekundu wakiwa wamebeba machela yenye maiti iliyofikishwa kwenye uwanja wa Maisara
Rais Kikwete akiwa kwenye banda la maiti ambazo badao zilikuwa hazijatambuliwa na jamaa zao

0 comments:

 
Top