Huu ni mji wa zamani wa Bwagamoyo sasa ni BAGAMOYO karibu kabisa na bandari ya Bagamoyo Ni moja wapo ya nyumba za mji Mkongwe za Zanzibar...
Mwanzo na Mwisho wa Tamasha la Sauti za Busara wasanii wa Zanzibar wamejifunza nini?
Chebli Masaidie Tamasha la Sauti za Busara ambalo lilianza February 8,2012 lilifikia ukingoni jana baadaya ya wasanii kutoka walipoweza ku...
Nneka afanya shoo Sauti za Busara 2012
Mwimbaji wa Nigeria, Nneka Egbuna amefanya shoo ya aina yake na ya kihistoria katika tamasha la tisa la busara. Shoo yake ya jana imefunga ...
Uchaguzi UZINI
Kesho ni siku ya upigaji kura kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la UZINI, kitu cha msingi kwa mpigaji kura ni kufaata masharti kama ambavyo yam...
Ubunifu ni kitu muhimu kwa wasanii Zanzibar
Hii ni moja ya sarafu kutoka Bara Arabu ambayo kwa kweli imeweza kurudishwa tena katika matumizi mengine badala ya kuwa sarafu ya kununulia...
Shamra shamra za tamasha la Sauti za Busara zashamiri kisiwani Zanzibar
Mwandishi wa ITV akiwa katika tamasha la Sauti za Busara Zanzibar tamasha ambalo linaendelea kwenye ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar Kikund...
Nini tunataka vijijini?
sasa kazi, ikiwa vijana hawa wameweza kubuni POOL lao wenyewe badala ya kuendela kuliona kwenye TV au kwenye miji mikuu tu au kwenye baa , n...
Forest Heroes to Receive Special Recognition as International Year of Forests Draws to Close
People who have made special contributions toward protecting forests and forest communities will recei...
Vyama vya ushirika vtakiwa kufuata maadili
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema suala la kuzingatia maadili ndani ya ...
WORLD YOUTH VOICE CONCERN OVER EMPLOYMENT PROSPECTS AND CALL FOR INVESTMENT INCREASE
Young people around the world are deeply concerned about a lack of job opportunities and are calling for an increase in investment in this a...
Je hivi ndivyo tunavyoyaenzi makaburi ya waasisi wa taifa la Zanzibar?
Hii ndiyo hali halisi ya kaburi la Marehem TIP TIP linavyoonekana katikati ya viunga vya mji mkongwe wa Zanzibar, ingaje juhudi zinachukuli...
THE BEAT FESTIVAL
KING KIKI & WAZE SUGU Rumba/Muziki wa Dansi King Kiki is one of the legends of Tanzanian Rumba. He started playing twist in 1958 and l...
SAUTI za Busara bado tupo makini na tunathamini kuwepo Zanzibar
Dj Yussuf wakatti akiwa na mahojiano na waandishi wa habari, amesema kwamba licha ya ukata wa fedha unaowakabili lakini, bado wataendela kuw...
Rasimu ya MUSWADA wa Sheria
Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Mfuko wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ni hatua muhimu katika kuweka taratibu zitakazoliwezesha Baraza hilo ...
Wajumbe wa kamati ya Muungano wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichofanyika Ubungo Plaza Dar-es-salaam
Kikao cha kamati ya Muungano wa Tanzania
Kikao cha Kamati ya pamoja ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kimekutana chini ya Mwenyekiti w...
Uzuri wa majengo haya ni kwa wageni tu si kwa wanyeji
Hili je? Hili linapendeza lakini si kwa ajili ya kulala mburu matari bali wenye pesa tu
MABADILIKO YA WASANII WATAKAOTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA
Busara Promotions ina matangazo mawili muhimu, kuhusu wasanii wawili waliopangwa kutumbuiza katika tamasha la mwaka huu. Hata hivyo wasanii ...
Usumbufu waongezeka katika kituo cha dala dala Michenzi na Jang'ombe baada ya kubainika kwa kuwepo kwa zoezi la ukaguzi wa magari na hasa dala dala
abiria kwenye kituo cha dala dala Michenzi Polisi wa usalama wa bara barani wakiwa wamefunga njia kwa ajili ya ukaguzi ingia huko acha ...
Serikali imeanza kutekeleza mapendekezo ya ripot ya Mv Spice Islanders 1
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutekeleza kwa vitendo Mapendekezo yaliyomo ndani ya Ripoti ya Tume iliyoundwa na Rais wa Zanzibar...
The UN Secretary-General's,Ban Ki-moon remarks to the General Assembly
The human and physical geography of our world is changing. New centres of economic dynamism are emerging. Technology continues to knit us mo...
Matayarisho ya SENSA 2012 Zanzibar
Jumla ya maeneo 3,024 ya kuhesabia Watu { EAs } yametayarishwa kwa ajili ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 ikilinganishwa na maeneo 2...
Ongezeko la watu haliendi sambamba na ukuaji wa uchumi Zanzibar
Ongezeko kubwa la idadi ya watu ambalo haliendi sambamba na kasi ya ukuaji Uchumi limesababisha Serikali na Mashirika yake kushindwa kuajiri...
Takribani 42.5% ya pato la Zanzibar kwa mwaka 2010 limetokana na sekta ya mawasiliano
Asilimia 42.5% ya pato la Zanzibar kwa mwaka 2010 limetokana na Sekta ya Huduma ambayo ndio inayoongoza katika kulipatia pato kubwa Taifa hi...
Mabalozi wapya Tanzania
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alikutana na Mabalozi wapya sita walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania k...