SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa uamuzi wake wa kuandaa mpango mpya wa nadharia ya Utalii kwa wote ambao umelenga kuwa na ...
SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa uamuzi wake wa kuandaa mpango mpya wa nadharia ya Utalii kwa wote ambao umelenga kuwa na ...
Sudan yatakiwa kuaingalia mazingira ya Zanzibar
Wawekezaji wa Jamuhuri ya Sudan wameombwa kuangalia vyema mazingira ya Zanzibar katika dhana nzima ya kuwekeza Vitega Uchumi vyao vinakavyo...
Chuo cha Utalii Zanzibar chatakiwa kuimarimasha mafunzo ili kuepuka vimbi la vijana kutoka nje ya Zanzibar kuajiriwa kwa wingi katika sekta ya Utalii
Matatizo ya kutafuta Wafanyakazi wa Hoteli za Kitalii kutoka Nje ya Zanzibar yatapungua kwa kiasi kikubwa kama sio kuondoka kabisa iwapo Wa...
Balozi Seif aomba mgogoro ulioibuka katika eneo la Kisaka saka limalizike ili kudumisha hali ya ujirani mwema kati ya wananchini na JWTZ
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameelezea umuhimu wa kuondoshwa sintafahamu iliyopo baina ya Wananchi wa eneo la Ki...
Viongozi wa kidini pamoja na wazazi wanouwezo mkubwa wa kujenga misingi imara ya kuimarisha maadili kwa vijana
Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na Wazazi wanahitajika kuendelea kujenga Misingi ya Maadili imara ambayo inaonekana kulega lega hasa kwa...
Wananchi watakiwa kufanya mazowezi kwa jaili ya kuimarisha afya zao
Jamii Nchini imeangizwa kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi ya Viungo kila siku ili kuimarisha miili yao sambamba na kujihakikishia uzi...
Zanzibar bado inafursa nzuri katika shughuli za kiuchumi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Mazingira ya Kimaumbile yaliyoizunguuka Zanzibar bado yana fursa nzuri ya k...
Ras Al-khaimah yapania kuleta maendeleo Zanizbar
Ras Al-Khaimah imejipanga vyema kuhakikisha Maendeleo ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii wa Taifa hilo Sambamba na Visiwa vya Zanzibar yana...
SMZ yategemea kupokea msaada wa mashine wa DNA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea Msaada wa Mashine za Uchunguzi wa Damu { DNA } wakati wowote kuanzia Mwezi wa Jula...
CCM yataka vijana kutunz amani nchini
Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake wamesisitizwa kuendelea kutunza amani iliyopo na kujiepuka na shari inayoweza kuzaa...
SMZ yakusudia kukuza sekta ya Ummah nasekta Binafsi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kujenga misingi imara ya kukuza ubia baina ya Sekta ya...
Fadika kibishara kwa wafanya biashara wadogo wadogo Zanzibar
Taasisi zinazowawezesha Wananchi Kiuchumi Nchini zimehimizwa kuwatumia vyema Wajasiri Amali wanaopata Mafunzo kwenye Mpango wa Faidika Kibi...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wana soka wa Mkoa wa Kaskazini Unguja chini ya umri wa miaka 17 ...
Balozi Seif avutiwa na wanamichezo wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni mbunge wa Jimbo la kitope Balozi Seif Ali Iddi amevutiwa na moyo na kauli ya wanamichezo wa...
Vyombo vya habari vinapaswa kutoa sahihi juu ya suala zima la sensa
Vyombo vya Habari Nchini bado vinapaswa kutumiwa Kisayansi katika kutoa Elimu juu ya uhamasishaji wa umuhimu wa Zoezi la Sensa ya Watu na...
Makamo wa kwaza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar asema Serikali haitowasaliti wananchi wa Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katu hawatowasaliti wan...
Mhe.Mnyaa asema Wizaya yake itaendelea kushirikiana na wataalamu wa sayansi nchini
Uongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania {costech} umeombwa kushajiisha Wasomi hasa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini kupenda k...
Bob Makani afariki dunia
Viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo wameshiriki katika ha...