Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wana soka wa Mkoa wa Kaskazini Unguja chini ya umri wa miaka 17 katika hafla ya kuifunga rasmi kambi yao hapo katika Jengo la kituo cha Huduma rafiki Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja

0 comments:

 
Top