Balozi Seif aenda Cuba
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi anaondoka Nchini leo kuelekea Nchini Cuba Kupitia Nchini Israel kwa ziara ya wiki m...
Balozi Seif aenda Cuba
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi anaondoka Nchini leo kuelekea Nchini Cuba Kupitia Nchini Israel kwa ziara ya wiki m...
Wasanii Nchini wameaswa kuacha tabia ya kujisikia kupindukia mkapa wakati wanapokuwa tayari wameshakubalika kutokana na kuwasilisha fani ...
African music
Crossroads of African music, Dakar hosts of 3 to 5 May 2012 the Salam Music Expo, the show of African music. For 3 days, the exhibition bri...
ni baadhi ya mabaki ya chomba ambacho kilizama na kuibuliwa katika bahari ya Zanzibar, inawezekana kabisa ni miongoni wa boti ambazo haz...
Wasanii wa Kikundi cha Utamaduni cha Aya Yolu Jijini Dar es salaam kikitoa burdani wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa nne wa Kimataifa wa S...
Mataifa ya Bara la Afrika yanapaswa kushirikiana katika kuhakikisha matatizo ya upatikanaji wa huduma za mazji safi na salama kwa ajili ...
Wasanii watakiwa wafanya kazi zao kibiashara zaidi
Wakati umefika kwa Vikundi vya Sanaa Nchini kuendelea kufanya kazi zao katika misingi ya Kibiashara ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Serikali ya Cuba kwa uwamuzi wake wa kuendelea kusaidia kuiunga mkon...
HOTUBA YA MHE. MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ALI IDDI ALIYOITOA KATIKA UFUNGAJI WA MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR TAREHE 20 APRIL, 2012
1.0 Mheshimiwa Spika, kwanza kabisa naomba tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehma zake za kutukutanisha hapa tukiwa wazima na afya njema na pi...
Sauti za Busara yatangaza tarehe ya tamasha la mwaka 2013
Busara Promotions inatoa taarifa ya tarehe ya tamasha la 10 la sauti za busara ambalo liataanza tarehe 14 – 17 februari 2013 katika ukumbi ...
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameombwa Kushirikiana na Viongozi wengine katika kusimamia utekelezaji wa shughuli zote za Sen...
Sekta ya michezo yaimarika Zanzibar
Zanzibar inaendelea kufaidika na sekta ya Michezo kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Amani miaka michache iliyopita uli...
Umuhimu wa kazi kazi kwa pamoja katika kukuza jamii bora
Ushirikiano wa pamoja kati ya Viongozi wa Serikali, Siasa pamoja na Taasisi za Kijamii ndio utakaowezesha ubora wa maandalizi hadi kufikia...
India imeombwa kuongeza nafasi zaidi za Masomo ya juu kwa Wanafunzi wa Zanzibar katika kuwapatia Elimu itakayokidhi soko la ushindani li...
Balozi Seif asema mchango wa Marehemu Kanumba katika sekta ya filamu ni kubwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema mchango mkubwa wa Msanii Steven Kanumba ambao alikuwa akiutoa wakati wa uhai...
Mfumo wa elimu uwe wenye manufaa kwa jamii na serikali kwa ujumla
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haitapendelea kuona Wanafunzi wa Skuli mbali mbali Nchini wanendelea kupata Taaluma yao madarasani katika...
Ni vyema kuwa na mzingira bora ya elimu
Kasi ya Maendeleo ya Wananchi katika sekta ya Elimu kwenye maeneo mbali mbali Unguja na Pemba inaonekana kupamba moto katika dhana nzima y...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo kuhusiana na hali ya uchimbaji wa mchanga katika eneo la ...
Polisi watakiwa kuthibiti uharibuifu wa mazingira
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar , Maalim Seif Sharif Hamad amewataka viongozi wa Shirika la Umeme, Idara ya Mazingira na Polisi kudhib...