Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo kuhusiana na hali ya uchimbaji wa mchanga katika eneo la Kwarara Wilaya ya Magharibi Unguja, karibu na nguzo ya umeme mzito unaopokelewa kutoka gridi ya Taifa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Mhe. Abdallah Mwinyi Khamis
Eneo linalochimbwa mchanga na kusababisha uharibifu wa mazingira huko Kwarara Wilaya ya Magharib Unguja. Eneo hili liko karibu sana na nguzo ya umeme mzito unaopokelewa kutoka gridi ya Taifa.
Picha, Salmin Said, OMKR

0 comments:

 
Top