Chama Cha Wananchi CUF kimesema kuwa amani ya kudumu haiwezi kupatikana katika nchi yoyote bila ya kuwepo haki na usawa katika jamii. Kati...
SMZ yazuwiya hati za umiliki wa ardhi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imezuia utolewaji wa Hati za umiliki wa maeneo ya Ardhi kwa ajili ya Kilimo kwa wakulima wa Vijiji vya ...
Maalim Seifataka tahadhari ichukuliwa kwa watoto
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ametaka tahadhari zaidi zichukuliwe katika kuwakuza watoto kimaadili, ili ku...
Balozi Seif asaini kitabu cha maombolezi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alikuwa miongoni mwa Viongozi wa Serikali,Mashirika na Taasisi mbali mbali za Kimat...
Balozi Seif akutana na Brigedia General Othman
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema kuendelea kuwepo kwa amani Nchini ni jambo la msingi linalowawezesha ...
Maalim Seif azuwiya matumizi ya makumbusho mara baada ya kubomoka
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ameuagiza uongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Mi...
Mashindano ya riadha yafana
B aada ya ukimya mrefu na Jamii kulemaa katika kuangalia mchezo wa kandanda ndani ya Viunga vya uwanja wa Amani Mjini Zanzibar sasa mambo ...
Pole Mhe.Hamadi kwa msiba
Viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa na serikali wameshiriki katika mazishi ya bibi Kisa Mohd ambaye ni mke wa Mbunge wa ...
MISRI imejitahidi kurudisha amani Mashariki ya Kati
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia maonyesho ya picha katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mshikam...
Maalim Seif ataka bodi ya mikopo kuacha muhali
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amewataka watendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu Zanzibar kuacha muhali...
UTURUKI kuipendelea Zanzibar
Uturuki inakusudia kutoa upendeleo Maalum kwa Zanzibar ili kusaidia Taaluma na baadhi ya Uwezeshaji katika Sekta za Utalii na Biashara l...
SMZ yaitupia lawama SMT
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imeitupia lawama Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai ya kutoishiriki...
Ubakaji ni Unyama
Neno ubakaji kati upwa huu wa washali ni neon lenye maana pana kijamii na kisheria, ambapo jamii wanadhani kwamba matendo ya ubakaji ni...
Wazazi watakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wao kwa kushirkiana na walimu
Baadhi ya Wazazi, Walimu na Wanafunzi wa Madrasatul Jamiatul Islamia ya Mto Mchanga wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya l...
SMZ: Yafuta umiliki wa ardhi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuonyesha Mkurugenzi wa Kituo cha Kujiendeleza Kielimu Kilichopo Selemu Ndu...
Kitope wakutana na Mbunge wao
Wananchi wa shehia tofauti zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope wamepata fursa ya kukutana na Mbunge wa Jimbo hilo Balozi Seif Ali Iddi kat...
Serikali ya China yaaahidi kuendeleza misaada yake kwa nchi rafiki
Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China kupitia Wizara ya Afya ya Nchi hiyo imethibitisha kuendelea kushirikiana na Mataifa rafiki ya Ba...
Tanzania yahitaji mabadiliko kwenye sekta ya kilimo
Tanzania inahitaji mabadiliko kwa kuwekeza katika kilimo cha kisasa sambamba na kutoa elimu na huduma bora kwa wakulima ili waweze kuendele...