Wakawaka yatoa msaada wa Taa za Solar Wakawaka yatoa msaada wa Taa za Solar

Muanzilishi wa   Mradi wa Taa zinazotumia mwanga wa Jua kutoka Kampuni ya Wakawaka ya Nchini Uholanzi Bwanan Maurits Groen akimkabidhi Ta...

Read more »
21:03

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ankutana na shirika la Mwezi Mwekundu, Abudhabi Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ankutana na shirika la Mwezi Mwekundu, Abudhabi

  Mwandishi maalum, UAE. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na uongozi wa shirika la misaada la mwe...

Read more »
20:47

GNU yanakaribisha wawekezaji Zanzibar GNU yanakaribisha wawekezaji Zanzibar

Na, Mwandishi Maalum, London Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar yenye   muundo mpya wa ...

Read more »
13:07

Kamati ya Senza yakutana Zanzibar Kamati ya Senza yakutana Zanzibar

Kikao cha Nane cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania kimekutana leo   chini ya Mwenyekiti wake Mweza Makamu wa Pili w...

Read more »
13:03

AFRICAN CREATIVE ECONOMY CONFERENCE 2012 AFRICAN CREATIVE ECONOMY CONFERENCE 2012

The aims of the conference are to provide practical analysis and reflective overview of the current status of African creative economy. Thi...

Read more »
12:36

Wananchi wanapaswa kuchangia huduma za afya Wananchi wanapaswa kuchangia huduma za afya

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema pamoja na jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali za uimarishaji wa...

Read more »
22:19

Atakaye tumia vibaya simu kukiona cha moto Atakaye tumia vibaya simu kukiona cha moto

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimshukuru Naibu Mkurugenzi ambaye pia ni Mratibu wa Mamlaka ya Mawasiliano ...

Read more »
12:53

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KUUAWA KWA MWENYEKITI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA (IPC) DAUDI MWANGOSI Zanzibar Press Club imepokea kwa masikitiko na...

Read more »
14:57

Wizara ya afya yatakiwa kujenga hospitali kubwa wilaya ya Kati Wizara ya afya yatakiwa kujenga hospitali kubwa wilaya ya Kati

Msimamizi wa Kituo cha Afya cha Kendwa Nungwi Bwana Viola Franco kutoka Hoteli ya Kimataifa ya Lagema Nungwi inayosimamia Kituo hicho ...

Read more »
14:44

SMZ imeunda idara maalumu kwa ajili ya kushughulia masuala ya Wazanzibar waishio nje: Asema Makamo wa Kwaaanza wa Rais SMZ imeunda idara maalumu kwa ajili ya kushughulia masuala ya Wazanzibar waishio nje: Asema Makamo wa Kwaaanza wa Rais

WASHINGTON : Makamu wa Kwanza wa Rais wa   Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amewahakikishia Wazanzibari wanaoishi nchi za nje kuwa Serika...

Read more »
14:46

Maalim Seif azungumzia demokrasi na siasa za Zanzibar Maalim Seif azungumzia demokrasi na siasa za Zanzibar

WASHINGTON : Makamu wa Kwanza wa Rais amekutana na msaidizi Waziri wa mambo ya nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bwana Joh...

Read more »
21:01

TAUSI aburudisha LAGEMA TAUSI aburudisha LAGEMA

Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kimataifa ya Lagema iliyoko katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja ulikuwa na burdani ya aina ya...

Read more »
21:24

SMZ yafikiria kuvifufua viwanda vidogo vidogo SMZ yafikiria kuvifufua viwanda vidogo vidogo

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaangalia mazingira ya   kuimarisha pamoja na kuvifufua Viwanda Vidogo vidogo ili kuongeza soko la ajira...

Read more »
21:19

Balazi Seif asema bado kunakazi kubwa ya kufikia maendelea katika jimbo la Kitope Balazi Seif asema bado kunakazi kubwa ya kufikia maendelea katika jimbo la Kitope

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi alisema licha ya jitihada zinazoendelea   kuchukuliwa na Uongozi wa Jimbo hilo lakini bad...

Read more »
21:15

Maalim Seif akutana na mabalozi mballi mbali nchini Marekani Maalim Seif akutana na mabalozi mballi mbali nchini Marekani

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na mabalozi wa nchi mbali mbali wanaoziwakilisha nchi zao nchini Ma...

Read more »
21:40
 
Top