Balozi mpya wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Tavaku Manongi amesema Uongozi wake utajitahidi kuangalia maeneo yanayoigusa Za...
Mwalimu Mussa Khamis atakiwa kufuta taratibu za ujenzi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Mmiliki wa Kiwanja kilichopo maeneo ya pembezoni mwa Bwawa la Mwanak...
TTCF joined with global tobacco control community
Tanzania Tobacco Control Forum (TTCF) joins the rest of the global tobacco control community to congratulate the Australian high court for ...
CCM yataka viongozi wanaokabidhiwa madaraka kuwa ni mfano
Chama cha Mapinduzi hivi sasa kinaendelea na utaratibu wa kuhakikisha Viongozi wanaoingia madarakani ndani ya chama kwenye chaguzi mbali mb...
Watanzania watakiwa kuwa tayari kuhesabiwa
Watanzania wote wameombwa kuwa tayari kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha zoezi la Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2012 sambamba n...
WAZIRI MKUU AITAKA MWANAHALISI WAENDE MAHAKAMANI KAMA WAMEONEWA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda amewataka wamiliki wa MwanaHalisi waende mahakamani wakiona ...
Ustawi wa Jamii yawapatia wazee huduma zaidi
Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto imeanza utaratibu wa kuwapatia milo mitatu Wazee wanaopatiwa hif...
Wanaokwenda kinyume na taratibu za CCM ni bora wakiache" Balozi Seif"
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Tifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amewaomba Wanachama wa Chama hicho ambao tayari wameshaamua ...
Ulinzi mbovu wapelekea kuongezeka kwa uvuvi haramu kwenye ghuba ya Chwaka
Usimamizi mbovu unaoendelea kufanywa na Baadhi ya Viongozi wa Serikali ikiwemo uzuwiyaji wa vikosi vya diria kufanya kazi zake ipasavyo ume...
Waislam nchini watakiwa kuwaridhisha watoto wao amali njema
Waumini wa Dini ya Kiislamu wamekumbushwa kuwa tayari kuwarithisha watoto wao mambo ambayo yanamridhisha na kumfurahisha Mwenyezi Muungu ...
Maandalizi ya Sensa ya watu na maakaazi yaiva
Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Nchini yanaendelea vyema kulingana na ratiba ya utekelezaji licha ya changamoto ndogo n...
Serikali zatakiwa kuziridhia ZMA na SUMATRA
Kazi kubwa inayozikabili Serikali zote mbili Nchini Tanzania kwa hivi sasa ni kuhakikisha zinaridhia ushirikiano wa Mamlaka za Usafiri wa Ba...
TAMKO LA PAMOJA KUHUSU KUFUNGIWA KWA GAZETI LA KILA WIKI NA LA UCHUNGUZI LA MWANAHALISI
Tanzania Human Rights Defenders Coalition [THRD-Coalition] Watetezi wa haki za Binadamu chini ya Mwamvuli wa Mtandao wa Watetezi wa Haki ...
Balozi azindua ujenzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe C
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeishukuru Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China kwa misaada yake mikubwa inayotoa katika kuunga mkon...
War over Uganda museum rages on
The announcement by government in January last year that it would demolish the Uganda museum to give way for the construction of a 60-storey...
Kikundi cha Utamaduni cha Vijana wanaojiita Form Six wakitoa burdan katika uzinduzi wa sherehe za Wakulima nane nane katika uwanja wa Nzuguni Dodoma
Vijana watakiwa kutumi fursa zilizopo
V ijana nchini wametakiwa kuzitumia fursa zilizowekwa na Serikali zote mbili katika sekta za Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ambazo tayari zi...