Watanzania watakiwa kuwa tayari kuhesabiwa Watanzania watakiwa kuwa tayari kuhesabiwa

Watanzania wote wameombwa kuwa tayari kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha zoezi la Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2012 sambamba n...

Read more »
22:49

WAZIRI MKUU AITAKA MWANAHALISI WAENDE MAHAKAMANI KAMA WAMEONEWA WAZIRI MKUU AITAKA MWANAHALISI WAENDE MAHAKAMANI KAMA WAMEONEWA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda amewataka wamiliki wa MwanaHalisi waende mahakamani wakiona ...

Read more »
11:35

Ustawi wa Jamii yawapatia wazee huduma zaidi Ustawi wa Jamii yawapatia wazee huduma zaidi

         Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto imeanza utaratibu wa kuwapatia milo mitatu Wazee wanaopatiwa hif...

Read more »
23:29

Wanaokwenda kinyume na taratibu za CCM ni bora wakiache" Balozi Seif" Wanaokwenda kinyume na taratibu za CCM ni bora wakiache" Balozi Seif"

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Tifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amewaomba Wanachama wa Chama hicho ambao tayari wameshaamua ...

Read more »
10:38

Ulinzi mbovu wapelekea kuongezeka kwa uvuvi haramu kwenye ghuba ya Chwaka Ulinzi mbovu wapelekea kuongezeka kwa uvuvi haramu kwenye ghuba ya Chwaka

Usimamizi mbovu unaoendelea kufanywa na Baadhi ya Viongozi wa Serikali ikiwemo uzuwiyaji wa vikosi vya diria kufanya kazi zake ipasavyo ume...

Read more »
19:31

Waislam nchini watakiwa kuwaridhisha watoto wao amali njema Waislam nchini watakiwa kuwaridhisha watoto wao amali njema

Waumini wa Dini ya Kiislamu wamekumbushwa kuwa  tayari kuwarithisha  watoto wao mambo ambayo yanamridhisha  na kumfurahisha Mwenyezi Muungu ...

Read more »
13:48

Maandalizi ya Sensa ya watu na maakaazi yaiva Maandalizi ya Sensa ya watu na maakaazi yaiva

Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Nchini yanaendelea vyema kulingana na ratiba ya utekelezaji licha ya changamoto ndogo n...

Read more »
22:05

Serikali zatakiwa kuziridhia ZMA na SUMATRA Serikali zatakiwa kuziridhia ZMA na SUMATRA

Kazi kubwa inayozikabili Serikali zote mbili Nchini Tanzania kwa hivi sasa ni kuhakikisha zinaridhia ushirikiano wa Mamlaka za Usafiri wa Ba...

Read more »
22:51

TAMKO LA PAMOJA KUHUSU KUFUNGIWA KWA GAZETI LA KILA WIKI NA LA UCHUNGUZI LA MWANAHALISI TAMKO LA PAMOJA KUHUSU KUFUNGIWA KWA GAZETI LA KILA WIKI NA LA UCHUNGUZI LA MWANAHALISI

Tanzania Human Rights Defenders Coalition [THRD-Coalition] Watetezi wa haki za Binadamu chini ya Mwamvuli wa Mtandao wa Watetezi wa Haki ...

Read more »
09:01

Balozi azindua ujenzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe C Balozi azindua ujenzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe C

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeishukuru Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China kwa misaada yake mikubwa inayotoa katika kuunga mkon...

Read more »
08:50

War over Uganda museum rages on War over Uganda museum rages on

The announcement by government in January last year that it would demolish the Uganda museum to give way for the construction of a 60-storey...

Read more »
08:47

Kikundi cha Utamaduni cha Vijana wanaojiita Form Six wakitoa burdan katika uzinduzi wa sherehe za Wakulima nane nane katika uwanja wa Nzuguni Dodoma Kikundi cha Utamaduni cha Vijana wanaojiita Form Six wakitoa burdan katika uzinduzi wa sherehe za Wakulima nane nane katika uwanja wa Nzuguni Dodoma

sanaa na wasanii

Read more »
11:49

Vijana watakiwa kutumi fursa zilizopo Vijana watakiwa kutumi fursa zilizopo

V ijana nchini wametakiwa kuzitumia fursa zilizowekwa na Serikali zote mbili katika sekta za Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ambazo tayari zi...

Read more »
11:43

Taarifa kwa UMMA Taarifa kwa UMMA

Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania MISA-Tanzania) inasikitika kuarifu umma wa watanzania kwamba inapinga vik...

Read more »
22:32

Balozi Seif amopokea michango zaidi Balozi Seif amopokea michango zaidi

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika {CBA} Bw. Yohane Kaduma akikabidhi mchango wa Maafa kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanziba...

Read more »
22:08

Wazazi watakiwa kubadili tabia Wazazi watakiwa kubadili tabia

Mjumbe wa Kamati wa Siasa ya CCM Wilaya ya Kaskazini B Mama Asha Suleiman Iddi akiufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Jimbo la Kito...

Read more »
16:53

SMZ na Vikosi vya ulinzi vyapongezwa kwa SMZ na Vikosi vya ulinzi vyapongezwa kwa

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ushirikiano na Vikosi vya Ulinzi, pamoja na Taasisi za Kiaraia imepongezwa kwa hatua iliyochukuwa kat...

Read more »
22:37
 
Top