Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na Wazazi wanahitajika kuendelea kujenga Misingi ya Maadili imara ambayo inaonekana kulega lega hasa kwa...
Wananchi watakiwa kufanya mazowezi kwa jaili ya kuimarisha afya zao
Jamii Nchini imeangizwa kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi ya Viungo kila siku ili kuimarisha miili yao sambamba na kujihakikishia uzi...
Zanzibar bado inafursa nzuri katika shughuli za kiuchumi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Mazingira ya Kimaumbile yaliyoizunguuka Zanzibar bado yana fursa nzuri ya k...
Ras Al-khaimah yapania kuleta maendeleo Zanizbar
Ras Al-Khaimah imejipanga vyema kuhakikisha Maendeleo ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii wa Taifa hilo Sambamba na Visiwa vya Zanzibar yana...
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mh. Mohamed Aboud Mohamed kwa mwaka 2012/2013 katika Kikao cha Baraza hilo kinachoendelea huko Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwakilishi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi inayojihusisha na huduma za Teknolojia ya Afya ya Chuo Kikuu cha Brown Mjini Boston Nchini Marekani Bw. Jayson Marwaha. Kati kati ni Mkurugenzi Mwenza wa Taasisi hiyo ya Med Intarenational Bwana Han Sheng Chia wakati huo huo Balozi Seif Ali alikabidhi msaada wa Gari kwa Uongozi wa Jumuiya ya Fiy Sabillilah Tablih Markazi ya Fuoni hapo Ofisini kwake Vuga
SMZ yategemea kupokea msaada wa mashine wa DNA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea Msaada wa Mashine za Uchunguzi wa Damu { DNA } wakati wowote kuanzia Mwezi wa Jula...
Wajumbe wa Umoja wa Wapanda Mapiki Piki wa Wilaya ya Kaskazini “B” wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wao iliyotolewa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo ambaye pia ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi hayupo pichani
CCM yataka vijana kutunz amani nchini
Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake wamesisitizwa kuendelea kutunza amani iliyopo na kujiepuka na shari inayoweza kuzaa...
SMZ yakusudia kukuza sekta ya Ummah nasekta Binafsi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kujenga misingi imara ya kukuza ubia baina ya Sekta ya...
Fadika kibishara kwa wafanya biashara wadogo wadogo Zanzibar
Taasisi zinazowawezesha Wananchi Kiuchumi Nchini zimehimizwa kuwatumia vyema Wajasiri Amali wanaopata Mafunzo kwenye Mpango wa Faidika Kibi...
Balozi Seif na michezo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wana soka wa Mkoa wa Kaskazini Unguja chini ya umri wa miaka 17 ...
Balozi Seif avutiwa na wanamichezo wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni mbunge wa Jimbo la kitope Balozi Seif Ali Iddi amevutiwa na moyo na kauli ya wanamichezo wa...
MSICHANA Elizaberty Mshana(26) mkazi wa Kihonda Mbuyuni kata ya Mafisa akiwa katika kiti cha magurudumu alichopewa na shirika linaloshughulika na watoto wenye ulemavu la TRACED,kushoto ni mama mzazi wa Elizaberty,Telesia Mdindile,katikati ni mtoa huduma wa kujitolea wa TRACED Gres John na kushoto ni mtoa huduma wa kujitolea wa TRACED Miraji Abdallah
Vyombo vya habari vinapaswa kutoa sahihi juu ya suala zima la sensa
Vyombo vya Habari Nchini bado vinapaswa kutumiwa Kisayansi katika kutoa Elimu juu ya uhamasishaji wa umuhimu wa Zoezi la Sensa ya Watu na...
Makamo wa kwaza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar asema Serikali haitowasaliti wananchi wa Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katu hawatowasaliti wan...
Mhe.Mnyaa asema Wizaya yake itaendelea kushirikiana na wataalamu wa sayansi nchini
Uongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania {costech} umeombwa kushajiisha Wasomi hasa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini kupenda k...
Bob Makani afariki dunia
Viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo wameshiriki katika ha...
Sekta ya Ufugaji
Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa Msumbiji imekumbushwa tena kufikiria ombi la Zanzibar la kuipatiwa Wataalamu katika kuendeleza Sekta ya ufu...
Anatafutwa na Polisi kwa kosa la WIZI wa VIFAA vya Zanzibar Press Club
Nd.Mbaraka Juma Ali Pichani ambaye ni maazi wa Zanzibar anatafutwa na kituo cha Polisi Kisima majon...