1.0 Mheshimiwa Spika, kwanza kabisa naomba tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehma zake za kutukutanisha hapa tukiwa wazima na afya njema na pi...
Sauti za Busara yatangaza tarehe ya tamasha la mwaka 2013
Busara Promotions inatoa taarifa ya tarehe ya tamasha la 10 la sauti za busara ambalo liataanza tarehe 14 – 17 februari 2013 katika ukumbi ...
Wawakilishi watakiwa kusimamia vyema utekelezaji wa sensa
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameombwa Kushirikiana na Viongozi wengine katika kusimamia utekelezaji wa shughuli zote za Sen...
Sekta ya michezo yaimarika Zanzibar
Zanzibar inaendelea kufaidika na sekta ya Michezo kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Amani miaka michache iliyopita uli...
Umuhimu wa kazi kazi kwa pamoja katika kukuza jamii bora
Ushirikiano wa pamoja kati ya Viongozi wa Serikali, Siasa pamoja na Taasisi za Kijamii ndio utakaowezesha ubora wa maandalizi hadi kufikia...
Mr.Mkuku wakati wa kusikiliza rufaa kwa ajili ya ushriki wa kazi nje nje iliyokatwa na mmoja katia ya waombaji ambao wakulikosa nafasi hiyo na kutokuridhika na matokeo
India yaongeza nafsi za masomo kwa Wazanzibari
India imeombwa kuongeza nafasi zaidi za Masomo ya juu kwa Wanafunzi wa Zanzibar katika kuwapatia Elimu itakayokidhi soko la ushindani li...
Balozi Seif asema mchango wa Marehemu Kanumba katika sekta ya filamu ni kubwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema mchango mkubwa wa Msanii Steven Kanumba ambao alikuwa akiutoa wakati wa uhai...
Mfumo wa elimu uwe wenye manufaa kwa jamii na serikali kwa ujumla
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haitapendelea kuona Wanafunzi wa Skuli mbali mbali Nchini wanendelea kupata Taaluma yao madarasani katika...
Ni vyema kuwa na mzingira bora ya elimu
Kasi ya Maendeleo ya Wananchi katika sekta ya Elimu kwenye maeneo mbali mbali Unguja na Pemba inaonekana kupamba moto katika dhana nzima y...
Kikosi kazi cha Wizara na shiriki la kazi Dunia (ILO) kilichopachikwa jina la KAZI NJE NJE kimepatikana na sasa kipo kambini kwa ajili ya kuanza kazi rasmi ya kuwasaidia vijana wa kKitanzania katika kuweza kujiajiri wenyewe bdala ya kuendela kuka vijiweni
Maalim Seif Sharif akiwa ziarani katika mkoani wa Mjini Magharibi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo kuhusiana na hali ya uchimbaji wa mchanga katika eneo la ...
Polisi watakiwa kuthibiti uharibuifu wa mazingira
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar , Maalim Seif Sharif Hamad amewataka viongozi wa Shirika la Umeme, Idara ya Mazingira na Polisi kudhib...
Balozi atoa Milioni moja kwa ajili ya kuendeleza shule mkoani Singida
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekabidhi mchango wa Shilingi Milioni Moja { 1,000,000/- } kwa ajili ya uendelez...
KCB yaomba kusaidi michezo Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ameiomba benki ya maendeleo ya Kenya KCB kuangalia uwezekano wa kusaidia sek...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UJUMBE WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KUONGEZA UELEWA WA MARADHI...
Bi Kidude apata msaidizi wake
Bibi Cheka ni msaanii mpya wa mziki wa Bongo Fleva, ambaye kwa sasa anaimbia kundi la wanaume family, hapana shaka yote ni mama wa makazo in...
Je unakumba enzi zile za TVZ na HITACHI hii?
kwa kweli ni kipindi kigumu cha kuweza kumkumbusha kila kijana wa Kizanzibar kuhusu TV hizi za mbao ambazo kwa kweli zilikuwa ni kivutio na ...
Ni baadhi ya meli za mizingo ambzo huwa zinatia nanga katika bandari ya Dar-es-salaam, je wafanya biashara wa Kitanzania hawanauwezo wa kumiliki meli kubwa kama hizi?
MESSAGE ON THE INTERNATIONAL DAY OF REMEMBRANCE OF THE VICTIMS OF SLAVERY AND THE TRANSATLANTIC SLAVE TRADE 25 March 2012
The transatlantic slave trade was a tragedy because of slavery’s fundamental barbarism and immense scope, and because of its organized, syst...
Dennis Itumbi
Popular journalist and blogger Dennis Itumbi may be charged on Monday for allegedly hacking the International Criminal Court website, but s...
Harakati za kupambana na Umasikini ziende sambamba na juhudi za kimaendeleo ya kijamii
Juhudi za kupambana na Umaskini hapa Nchini ni vyema zikajikita zaidi katika kuimarisha Uchumi sambamba na huduma za Kijamii kwa lengo la ku...
Serikali itaziangali upya sheria za UVUVI Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuziangalia upya Sheria za Uvuvi zilizopo Nchini ili kuona uvuvi haramu ambao unaendelea kukith...
Electric International Company Limited yatakiwa kukamilisha ujenzi wa skuli ya PAJE ndani ya miezi MINNE
Kampuni ya Ujenzi ya Electric International Company Limited imeagizwa kukamilisha ujenzi wa Skuli Mpya ya Sekondari ya Wilaya ya Kusini iliy...
UJUMBE WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA KIFUA KIKUU 24 Machi 2012
Kwa kipindi kirefu mno, ugonjwa wa kifua kikuu haujapewa usikivu wa kutosha. Matokeo ya kutokujal...
MESSAGE ON THE INTERNATIONAL DAY FOR THE RIGHT TO THE TRUTH CONCERNING GROSS HUMAN RIGHTS VIOLATIONS AND FOR THE DIGNITY OF VICTIMS 24 March 2012
Today we pay tribute to the memory of Monsignor Oscar Arnulfo Romero, who was murdered in El Salvador on this day in 1980 for refusing to be...
China yaisaidia Zanzibar katika kuimariasha masuala ya UFUNDI kwa vijana wa Zanzibar
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Avic ya Nchini China Bw...