Wakati Serikali inaendelea kufanya tathmini ya nyumba na mali zilizomo ndani ya eneo jipya kwa ajili ya utanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Zanzib...
Jamii yatakiwa kuwa na tahadhari kutokana na mvua zinazoendela kunyesha nchini
Jamii imekumbushwa kuwa na tahadhari kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini ambazo tayari zimeshaleta athari na kupoteza maisha y...
Balozi Seif atembelea ZBC (TVZ)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekumbusha kwamba mafanikio ya kazi popote pale hupatikana na kuongezeka iwapo sual...
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF AKIZUNGUMZA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA BWANA K.V. BHAGIRATH OFISINI KWAKE VUGA MJINI ZANZIBAR. BALOZI BHAGIRATH ALIFIKA KWA BALOZI SEIF KUAGA BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE WA UTUMISHI NCHINI TANZANIA.
Watanzania waongezewa nafasi zaidi za masomo India
India inakusudia kuongeza nafasi za masomo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi wa Tanzania katika kipindi kijacho cha mwaka 2012 katika fani ya ki...
Serikali ya Zanzibar yaahidi kukifanyia marekebisho kiwanda cha uchapaji cha serikali kilichopo Mkele Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kukipatia vifaa na Mitambo ya kisasa kiwanda cha Idara ya upigaji chapa cha Serikali ili kiteke...
Ukatili dhidi ya wanawake na watoto Zanzibar
Kasi ya vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto inayoonekana kuendelea kushamiri nchini inatishia amani ndani ya jamii na hapana bud...
Chuo cha Mafunzo Zanzibar chashauriwa kuwa na mafunzo ya kilimo kwa vijana ili yaweze kuwasaidia katika maisha yao ya baadae
Uongozi wa Idara Maalum ya Chuo cha Mafunzo Zanzibar umeshauriwa kuandaa utaatibu maalum wa kutoa mafunzo ya Kilimo kwa Vijana kwa lengo la ...
UN Secretary-General's
SG: Good morning, ladies and gentlemen. It is a great pleasure to meet you. And I look forward to seeing you later this evening during the a...
Government of Sweden provides $5.15 million to United Nations Tanzania
Sweden’s Deputy Head of Mission and Head of Development Cooperation Division Maria van Berlekom, and the United Nations Resident Coordinator...
Waislamu watakiwa wawe waadilifu
Waumini wa Dini ya Kiislamu wameendelea kukumbushwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, hekima, busara na uaminifu ili kufikia kilele cha ...
Migrants’ voices must be heard in today’s all too often biased, polarized and negative debate on migration, says IOM’s World Migration Report 2011: Communicating Effectively about Migration.
The report states that although we live in an era of the greatest human mobility in recorded history, with greater acknowledgement that migr...
Mipango imara ya uwekezaji yaimarishwa Zanzibar
Azma ya Serikali ya Kuunda Wizara inayosimamia uwezeshaji ni kumfanya Mwananchi ajitegemee kufanyakazi kwa kutumia nguvu kazi badala ya kuwa...
Timu za mpira Kitope zapata jezi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haipendelei kuona masuala ya Kidini yanaingizwa ndani ya fani na Michezo . Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzi...
Khoja Shia ithna-ashari yatoa msaada Kitope
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi amelipongeza Shirikisho la Kimataifa la Jumuiya ya khoja Shia ithna-asheri kwa juhudi zake za...
Kilele cha tamsha la 100% Pemba
Na Haji Nassor Wananchi wa Kisiwa cha Pemba walijumika kwa pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ...
Wizara ya mambo ya Nje ihakikishe sara ya kuimarisha uchumi wa Tanzania
Kazi kubwa inayoikabili Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Tanzania ni kuhakikisha ile sera ya Mambo ya nje ya kuel...