SMT yaahidi kuongeza ushirikiano na SMZ katika kufuatilia ajali ya M.V Skagit
Serikali ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa litaendelea kutoa ushirikiano na msaada kwa Serikali ya...
SMT yaahidi kuongeza ushirikiano na SMZ katika kufuatilia ajali ya M.V Skagit
Serikali ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa litaendelea kutoa ushirikiano na msaada kwa Serikali ya...
Waziri Mwinyi Haji akitoa taarifa ya ajali kwa waandishi wa habari Ni baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika eneo la bandari kwa...
Wananchi watakiwa kuhiriki ipasavyo kwenye zoezi la sensa
Wananchi wameombwa kutoa Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa kwa kutoa taarifa sahihi za kaya zao ili kupata takwimu sahihi kwa ajili ya ...
Kamati ya sensa yakutana Zanzibar
Kikao cha Kamati ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania kimefanyika Mjini Zanzibar Chini ya Mwenyekiti wake Waziri Mkuu wa Serikali y...
SMZ yaahidi kushirikia na Light Years IP ya Marekani
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani kupitia Kampuni ya Light Years IP inaandaa Mpango wa Kibiash...
SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa uamuzi wake wa kuandaa mpango mpya wa nadharia ya Utalii kwa wote ambao umelenga kuwa na ...
Sudan yatakiwa kuaingalia mazingira ya Zanzibar
Wawekezaji wa Jamuhuri ya Sudan wameombwa kuangalia vyema mazingira ya Zanzibar katika dhana nzima ya kuwekeza Vitega Uchumi vyao vinakavyo...
Chuo cha Utalii Zanzibar chatakiwa kuimarimasha mafunzo ili kuepuka vimbi la vijana kutoka nje ya Zanzibar kuajiriwa kwa wingi katika sekta ya Utalii
Matatizo ya kutafuta Wafanyakazi wa Hoteli za Kitalii kutoka Nje ya Zanzibar yatapungua kwa kiasi kikubwa kama sio kuondoka kabisa iwapo Wa...
Balozi Seif aomba mgogoro ulioibuka katika eneo la Kisaka saka limalizike ili kudumisha hali ya ujirani mwema kati ya wananchini na JWTZ
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameelezea umuhimu wa kuondoshwa sintafahamu iliyopo baina ya Wananchi wa eneo la Ki...
Viongozi wa kidini pamoja na wazazi wanouwezo mkubwa wa kujenga misingi imara ya kuimarisha maadili kwa vijana
Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na Wazazi wanahitajika kuendelea kujenga Misingi ya Maadili imara ambayo inaonekana kulega lega hasa kwa...
Wananchi watakiwa kufanya mazowezi kwa jaili ya kuimarisha afya zao
Jamii Nchini imeangizwa kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi ya Viungo kila siku ili kuimarisha miili yao sambamba na kujihakikishia uzi...
Zanzibar bado inafursa nzuri katika shughuli za kiuchumi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Mazingira ya Kimaumbile yaliyoizunguuka Zanzibar bado yana fursa nzuri ya k...
Ras Al-khaimah yapania kuleta maendeleo Zanizbar
Ras Al-Khaimah imejipanga vyema kuhakikisha Maendeleo ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii wa Taifa hilo Sambamba na Visiwa vya Zanzibar yana...
SMZ yategemea kupokea msaada wa mashine wa DNA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea Msaada wa Mashine za Uchunguzi wa Damu { DNA } wakati wowote kuanzia Mwezi wa Jula...
CCM yataka vijana kutunz amani nchini
Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake wamesisitizwa kuendelea kutunza amani iliyopo na kujiepuka na shari inayoweza kuzaa...
SMZ yakusudia kukuza sekta ya Ummah nasekta Binafsi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kujenga misingi imara ya kukuza ubia baina ya Sekta ya...
Fadika kibishara kwa wafanya biashara wadogo wadogo Zanzibar
Taasisi zinazowawezesha Wananchi Kiuchumi Nchini zimehimizwa kuwatumia vyema Wajasiri Amali wanaopata Mafunzo kwenye Mpango wa Faidika Kibi...