SMT yaahidi kuongeza ushirikiano na SMZ katika kufuatilia ajali ya M.V Skagit SMT yaahidi kuongeza ushirikiano na SMZ katika kufuatilia ajali ya M.V Skagit

Serikali ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa litaendelea kutoa ushirikiano na msaada kwa Serikali ya...

Read more »
21:17

Ajali ya meli Zanzibar 18.7.2012 Ajali ya meli Zanzibar 18.7.2012

Waziri Mwinyi Haji akitoa taarifa ya ajali kwa waandishi wa habari Ni baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika eneo la bandari kwa...

Read more »
10:00

Wananchi watakiwa kuhiriki ipasavyo kwenye zoezi la sensa Wananchi watakiwa kuhiriki ipasavyo kwenye zoezi la sensa

Wananchi wameombwa kutoa Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa kwa kutoa taarifa sahihi za kaya zao ili kupata takwimu sahihi kwa ajili ya ...

Read more »
09:49

Kamati ya sensa yakutana Zanzibar Kamati ya sensa yakutana Zanzibar

Kikao cha Kamati ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania kimefanyika Mjini Zanzibar Chini ya Mwenyekiti wake Waziri Mkuu wa Serikali y...

Read more »
20:29

SMZ yaahidi kushirikia na Light Years IP ya Marekani SMZ yaahidi kushirikia na Light Years IP ya Marekani

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani kupitia Kampuni ya Light Years IP inaandaa Mpango wa Kibiash...

Read more »
14:27

SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa uamuzi wake wa kuandaa mpango mpya wa nadharia ya Utalii kwa wote ambao umelenga kuwa na ...

Read more »
22:05

Sudan yatakiwa kuaingalia mazingira ya Zanzibar Sudan yatakiwa kuaingalia mazingira ya Zanzibar

Wawekezaji wa Jamuhuri ya Sudan wameombwa kuangalia vyema mazingira ya Zanzibar katika dhana nzima ya kuwekeza Vitega Uchumi vyao vinakavyo...

Read more »
22:14

Chuo cha Utalii Zanzibar chatakiwa kuimarimasha mafunzo ili kuepuka vimbi la vijana kutoka nje ya Zanzibar kuajiriwa kwa wingi katika sekta ya Utalii Chuo cha Utalii Zanzibar chatakiwa kuimarimasha mafunzo ili kuepuka vimbi la vijana kutoka nje ya Zanzibar kuajiriwa kwa wingi katika sekta ya Utalii

Matatizo ya kutafuta Wafanyakazi wa Hoteli za Kitalii kutoka Nje ya Zanzibar yatapungua kwa kiasi kikubwa kama sio kuondoka kabisa iwapo Wa...

Read more »
22:09

Balozi Seif aomba mgogoro ulioibuka katika eneo la Kisaka saka limalizike ili kudumisha hali ya ujirani mwema kati ya wananchini na JWTZ Balozi Seif aomba mgogoro ulioibuka katika eneo la Kisaka saka limalizike ili kudumisha hali ya ujirani mwema kati ya wananchini na JWTZ

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameelezea umuhimu wa kuondoshwa sintafahamu iliyopo baina ya Wananchi wa eneo la Ki...

Read more »
00:54

Viongozi wa kidini pamoja na wazazi wanouwezo mkubwa wa kujenga misingi imara ya kuimarisha maadili kwa vijana Viongozi wa kidini pamoja na wazazi wanouwezo mkubwa wa kujenga misingi imara ya kuimarisha maadili kwa vijana

Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na Wazazi wanahitajika kuendelea kujenga Misingi ya Maadili imara ambayo inaonekana kulega lega hasa kwa...

Read more »
00:46

Wananchi watakiwa kufanya mazowezi kwa jaili ya kuimarisha afya zao Wananchi watakiwa kufanya mazowezi kwa jaili ya kuimarisha afya zao

Jamii Nchini imeangizwa kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi ya Viungo kila siku ili kuimarisha miili yao sambamba na kujihakikishia uzi...

Read more »
00:40

Zanzibar bado inafursa nzuri katika shughuli za kiuchumi Zanzibar bado inafursa nzuri katika shughuli za kiuchumi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Mazingira ya Kimaumbile yaliyoizunguuka Zanzibar bado yana fursa nzuri ya k...

Read more »
21:38

Ras Al-khaimah yapania kuleta maendeleo Zanizbar Ras Al-khaimah yapania kuleta maendeleo Zanizbar

  Ras Al-Khaimah imejipanga vyema kuhakikisha  Maendeleo ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii wa Taifa hilo Sambamba na Visiwa vya Zanzibar yana...

Read more »
09:29

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mh. Mohamed Aboud Mohamed kwa mwaka 2012/2013 katika Kikao cha Baraza hilo kinachoendelea huko Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mh. Mohamed Aboud Mohamed kwa mwaka 2012/2013 katika Kikao cha Baraza hilo kinachoendelea huko Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Read more »
14:16

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwakilishi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi inayojihusisha na huduma za Teknolojia ya Afya ya Chuo Kikuu cha Brown Mjini Boston Nchini Marekani Bw. Jayson Marwaha.  Kati kati ni Mkurugenzi Mwenza wa Taasisi hiyo ya Med Intarenational Bwana Han Sheng Chia wakati huo huo Balozi Seif Ali alikabidhi msaada wa Gari kwa Uongozi wa Jumuiya ya Fiy Sabillilah Tablih Markazi ya Fuoni hapo Ofisini kwake Vuga Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwakilishi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi inayojihusisha na huduma za Teknolojia ya Afya ya Chuo Kikuu cha Brown Mjini Boston Nchini Marekani Bw. Jayson Marwaha. Kati kati ni Mkurugenzi Mwenza wa Taasisi hiyo ya Med Intarenational Bwana Han Sheng Chia wakati huo huo Balozi Seif Ali alikabidhi msaada wa Gari kwa Uongozi wa Jumuiya ya Fiy Sabillilah Tablih Markazi ya Fuoni hapo Ofisini kwake Vuga

Read more »
14:38

SMZ yategemea kupokea msaada wa mashine wa DNA SMZ yategemea kupokea msaada wa mashine wa DNA

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea Msaada wa Mashine za Uchunguzi wa Damu { DNA } wakati wowote kuanzia Mwezi wa Jula...

Read more »
14:32

Wajumbe wa Umoja wa Wapanda Mapiki Piki wa Wilaya ya Kaskazini “B” wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wao iliyotolewa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo ambaye pia ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi hayupo pichani Wajumbe wa Umoja wa Wapanda Mapiki Piki wa Wilaya ya Kaskazini “B” wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wao iliyotolewa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo ambaye pia ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi hayupo pichani

Read more »
12:17

CCM yataka vijana kutunz amani nchini CCM yataka vijana kutunz amani nchini

Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake wamesisitizwa kuendelea kutunza amani iliyopo na kujiepuka na shari inayoweza kuzaa...

Read more »
12:08

SMZ yakusudia kukuza sekta ya Ummah nasekta Binafsi SMZ yakusudia kukuza sekta ya Ummah nasekta Binafsi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kujenga misingi imara ya kukuza ubia baina ya Sekta ya...

Read more »
11:56

Fadika kibishara kwa wafanya biashara wadogo wadogo Zanzibar Fadika kibishara kwa wafanya biashara wadogo wadogo Zanzibar

Taasisi zinazowawezesha Wananchi Kiuchumi Nchini zimehimizwa kuwatumia vyema Wajasiri Amali wanaopata Mafunzo kwenye Mpango wa Faidika Kibi...

Read more »
23:07
 
Top