Arterial Network celebrates its fifth anniversary Arterial Network, a Pan African network of artists, cultural activists, creative enterpris...
Press Statement
Marking a full year of violent suppression of anti-government protests in Syria, the United Nations Secretary-General's Special Advisers...
India yaangalia mpango wa kuwekeza zaidi Afrika
Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Miundo Mbinu kutoka Nchini India inaendelea na utaratibu wa kuangalia Mipango yao zaid...
Hapo safi
Mwisho wa wiki kwenye fukwe za Bagamoyo
Ni siku ya faraja kwa wakaazi wa Bagamoyo kwani hali hii ya kutembelea katika fukwe huwa ni kila mwisho wa wiki, ambapo kwa asilimia kubwa v...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kikosi cha zima moto na uokozi kimefanikiwa kuuzima moto uliotokea katika jengo la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii liliopo Kilimani Mjini Zanzibar...
Mke wa Makamo wa Pili wa Rais asema hatua za kuwafanya watoto kuielewa vyema dini yao ni jambo la msingi sana
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi alisema jitihada za Walimu wa Madrasa Nchini katika Kuwafinyanga vyema Wat...
Balozi Seif asema CCM itaendelea kuheshimika katika jamii
Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuheshimika ndani ya Jamii endapo Viongozi wanaokisimamia kuanzia ngazi ya Shina hadi Taifa watatekeleza vye...
Komamanga ni tunda muhimu kwa afya ya jamii ila watu wengi hawajuwi
inasemekana kwamba tunda hili kwa kiasi kikubwa linauwezo wa kuzuwiya ungonjwa wa kansa ya matiti kwa kina mama, ni tunda zuri na ni adimu ...
Usarifu wa matumizi ya sarafu
Hizi ni sarafu za mataifa mbali mbali ambazo zimekuwa zikisarafiwa kwa ajili ya matumizi ya mapambo ambayo hutumika zaidi kwa ajina mama kuw...
China yaendeleza ushirikiano na SMZ
Jamuhuri ya Watu wa China itaendelea kuwa Mshirika mkubwa wa Zanzibar katika harakati za Uimarishaji wa Maendeleo ya Kiuchumi Kibiashara, Mi...
Hii ndio sehemu iliyokuwa imeweka maskani ya chuo cha waandishi wa habari cha DSJ na sasa kimehama Zanzibar ila mabaki yake yamebakia katika viunga vya mji wa Zanzibar
ACHA TUPOTEZE MUDA
Ukauzi wa shamba la miwa
Balozi Seif Ali Iddi ambaye ni Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar akiwa katika ziara ya ukaguzi wa shamba la miwa lilovamiwa na kulimwa mihogo
Serikali ya Zanzibar ipo tayari kupokea mawazo na ushauri wa wataalam
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakuwa tayari wakati wote kupokea mawazo yatakayotolewa na Wataalamu wa Mpango wa Nchi za Kiafrika kujita...
PRESS RELEASE
African countries send representatives to the summit of Mount Kilimanjaro as part of the UNiTE campaign to End Violence against Women and Gi...
Wapanda pikipiki watakiwa kuwa na busara
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amewataka Wanachama wa Umoja wa Wapanda Mapiki Piki wa CCM kufa...
Jamii yapaswa kufahamu athari za kimazingira
Viongozi na Watendaji wa Serikali wanapaswa kuendelea kushajiisha Jamii ili kuepuka athari za Mazingira zinazotokana na Baadhi ya Watu kuwa ...
Otieno aitwa tena kwenye kituo cha polisi nchini Kenya
Louis Otieno, a former Kenyan TV personality is set to be recalled by the police next week. This is for more questioning by detectives inves...
Mpiga picha wa NTV apata ajali LAMU akiwa kazi wakati wa kurikodi sherehe na hutuba ya LAPSSET
Karim-rajan akiwa kazini
P R E S S R E L E A S E
REMARKS BY THE UN SECRETARY-GENERAL AT THE NOON PRESS BRIEFING - UNHQ SG: Thank you very much. Good afternoon, Ladies and Gentlemen. You ma...
Inaoenekana bado mfumo waserikali ya umoja wa kitaifa haujafahamika vyema kwa jamii na kwa baadhi ya viongozi
Mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa unaoendelea kufuatwa Zanzibar hivi sasa unafaa kuigwa na Mataifa mengine Duniani katika harakati...
Balozi Seif ataka ujenzi wa hotel Nungwi kusimamishwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameagiza kusitishwa mara moja kwa shughuli zozote za ujenzi wa Maradi wa Hoteli k...
Sudan yaahidi kuendeleza ushirikiano na Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha kwamba uhusiano kati yake...
Msumbuji yataka vikao vya pamoja kati yake na Tanzania kurudishwa
Msumbiji imeiomba Tanzania kufikiria uwamuzi wa kurejeshwa tena utaratibu wa kuwa na vikao vya pamoja kati ya pande hizo mbili ambao ulileng...