Ni siku ya faraja kwa wakaazi wa Bagamoyo kwani hali hii ya kutembelea katika fukwe huwa ni kila mwisho wa wiki, ambapo kwa asilimia kubwa vijana kutoka katikati ya mitaa ya Dar-es-salaam na viunga vyake hukusanyika Bagamoyo  kwa ajili ya mapumziko mara baada ya kumalizika kwa wiki

0 comments:

 
Top