Kampuni ya usafiri wa anga.. Ethiopian airlines imejitokeza kudhamini Tamasha la 16 la filamu Tanzania, ZIFF linalotazamiwa kufanyika Zanz...
Balozi Seif awapongeza Madaktari wa China
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Timu ya Madaktari Bingwa wa Jamuhuri ya Watu wa China kwa umakini wak...
AfDB Approves a USD 100 million Risk Participation Agreement with Commerzbank AG to Boost Trade Finance in Africa
This facility will help address critical market demand for trade finance in Africa ...
Kidevu amwagiwa Tindikali
Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Bwana Mohd Omar Said { Maarufu Kidevu } anaendelea kupatiwa huduma za matibabu katik...
Wakauliwa watakiwa kuwa makini kwenye kilimo ili wapate mazao bora
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wakulima kisiwani Pemba kuyatumia mafunzo wanayopewa katika kujion...
Kamati ya maadili yasikitishwa
Kamati ya kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa imeelezea kusikitishwa kwake na tabia ya baadhi ya watendaji wa Serikali kuendelea...
message on the International Day for Biological Diversity 22 May 2013
As the international community strives to accelerate its efforts to achieve the Millennium Development Goals and define a post-2015 agenda...
Maalim Seif anataka kuimarisha msako wa misumeno
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka wananchi kushirikiana kuisaka misumeno ya moto popote ilipo ili i...
Vyombo vya ulinzi vyatakiwa kuimarisha ulinzi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amevitaka vyombo vya ulinzi nchini kusimamia vyema majukumu yake ili kuhaki...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kiongozi wa Timu ya Viongozi Waandamizi wa Sudan na Sudan ya Kusini Bwana Lazaro Sumbeiywo aliyefika Ofisini kwake kumpa muhtasari wa Ripoti ya Azimio lao baada ya kukamilisha Mkutano wao hapo Sea Cliff KAMA
Mwenyekiti wa CCM Taif asema siri kubwa ya wabunge kubakia majimboni mwao ni kuwa karibu na wapiga kura wao
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amesema siri kubwa...
Wanawake watakiwa kuwa wastahamilivu
Wanawake nchini wamehimizwa kuvuliana na kuaminiana katika kuendeleza shughuli zao za ushirika. Wito huo umetolewa na Mke wa Makamu wa Kwa...
Makamo wa Kwaza wa Rais Zanzibar asisitiza maadili kwa walezi na walimu wa madrsa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amewahimiza wazazi, walezi na walimu kushirikiana kutika kurejesha maadili ...
Uchumi wa mataifa machanga watarajiwa kuimarika
Uchumi wa Mataifa machanga yanayolenga kuelekea kwenye maendeleo ya haraka utazidi kuimarika iwapo Mataifa hayo yatajikita zaidi katika...
Orange inaugurates a new Campus in Dakar dedicated to managerial development
With the creation of a new Orange Campus site in Senegal, the France Telecom-Orange Group , which is present in some 20 African countries...
Maalim Seif aahidi unga mbovu utakuwa umeshaondoshwa kufika June 15
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amesema unga mbovu uliopo bandari ya Malindi Zanzibar utakuwa umeondolewa i...
Twelve African Energy, Mining and Industry Ministers confirm attendance at the Africa Energy Forum 2013 in Barcelona
Over 800 delegates are expected to attend this international investment Forum for Africa’s power industry A recent report from the Wo...
Mama Awena ziarani Pemba
Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Massoud, amesema kazi ni kigezo muhimu cha kulinda heshma ya mwanamke. M...
African Development Fund: Governors support a successful ADF replenishment
We , the African Development Fund’s Governors, Planning and Finance Ministers from Côte d’Ivoire, Ghana, Guinea, Liberia, Senegal and Sierr...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifungua pazia kuashiria kukifungua rasmi Kiwanda cjha maji ya Kunywa cha Super Shine Kinachomilikiwa na Kampuni ya Safari yenye Makao Makuu yake Nchini India
India-Italy Target to Double Trade to 15 Billion Euro Achievable, IST
Italy has exuded confidence that its trade with India would double to 15 billion euro by 2015 in view of rising trade between the two coun...
Orange launches the third edition of Orange African Social Venture Prize
The project promotes social innovations in support of development that use Information and Communication Technologies (ICTs) ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Ujumbe wa Viongozi wa Makampuni ya Maji na Umeme { Botjheng Water na Megtron } ya Afrika Kusini pamoja Uongozi wa Wizara ya Ardhi , Makazi, Maji na Nishati aliokutana nao Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar
SatADSL Announces a Capital Increase to Finance its Growth Strategy in Africa
Low-cost professional broadband satellite services in Africa ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwafariji baadhi ya majeruhi wa mripuko wa linalodhaniwa kuwa bomu uliotokea Jumapili iliyopita katika Kanisa Katoliki Wilayani Arumeru Mkoani Arusha.
China and Africa Explore New Opportunities to Cooperate on Health Challenges in Africa and Strengthen Innovative Partnership
At first China-Africa health roundtable to be held in Africa, leaders gather in Botswana to promote South-South partnership on African h...