Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alibadilishana Mawazo na Ujumbe wa Viongozi wanane wa Makampuni Tofauti kutok...
Elimu ndio msingi mkuu wa maendeleo: Balozi Seif
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi Amewataka Vijana wa Jimbo hilo kujiepusha na tabia ya kuwa watoto wa Mitaani na badala yake...
Balozi apongeza maendeleo yaliyopo vijijini
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wivu waliokuwa nao Wananchi wa Vijiji vya Bweleo na Bwefumu viliopo Wilaya ...
Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO wakosa dhamana
Viongozi saba wa jumuiya ya UAMSHO leo wamekosa kupewa dhana na kurudishwa tena rumande na mameshtakiwa kwa makosa manne ambayo ni:- 1 ...
Balozi Koek wakati akibadilishana mawazo na Balozi Seif Ali Iddi Vuga-Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koek Koek h...
Uholanzi yakusdudia kuunga mkono SMZ
Serikali ya Uholanzi inakusudia kuunga mkono harakati za Kiuchumi na Maendeleo katika Mpango wake wa kusaidia Mataifa Manane machanga ...
Baraza la Wawakilishi laakhirishwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisoma Hotuba ya kufunga Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ul...
SMZ: Haitamuonea huruma kiongozi atakaebainika kuhusiska kwa uvunjifu wa amani
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haitamuonea haya wala kumuogopa mtu ye yote ambae atabainika kuhusika na uvunjifu wa amani baada ya ...
Jumuiya za kimataifa zatakiwa kutoa msukumo kwenye sekta ya michezo Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema ipo haja kwa jumuiya za Kitaifa na Kimataifa kuendelea kujaribu kuipa msuk...
POLISI YAENDELEA KUMHOJI SHEKH FARID HADI
Kufuatia vurugu zinazodaiwa kufanywa na vijana wa UAMSHO kwenye kisiwa cha Unguja, jumla ya watu arubaini na tisa (49) na wanane (8) kat...
Sekta ya Elimu ndio mjenzi madhubuti wa Taifa:Balozi Seif
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzi bar Balozi Seif Ali Iddi alisema Ujenzi wa Taifa imara popote pale hupatikana kutokana na misingi madhubut...
Balozi Seif aipongeza UN
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameupongeza Umoja wa Mataifa { United Nation } kwa kutimia miaka 67 tokea kuasisiw...