Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koek Koek hapo Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zabzibar
 Balozi wa Uhol;anzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koek Koek akifafanua Mpango wa Nchi yake  wa kutaka kusaidia Mataifa Rafiki Manane Duniani katika miradi ya Kiuchumi itakayopitia kwenye mfumo wa Miradi ya pamoja kati ya   Makampuni ya pande hizo husika
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koek Koek hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar

0 comments:

 
Top