Viongozi saba wa jumuiya ya UAMSHO leo wamekosa kupewa dhana na kurudishwa tena rumande na mameshtakiwa kwa makosa manne ambayo ni:-
1  WAMESABABISHA FUJO NA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI
2 KUSABABISHA UHARIBIFU WA MIUNDO MBINU NCHINI
3 KUWASHAWISHI RAI KUFANYA VITENDO VYA FUJO KITU AMBACHO KIMEIPELEKEA SERIKALI KUINGIA HASARA KUBWA
4 AMESHITAKIWA SHEIKH AZZAN PEKEAKE KWA KUMTUKANA HADHARANI KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR BWANA MUSSA ALI MUSAA.

0 comments:

 
Top