Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisoma Hotuba ya kufunga Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa aukifanyika katika Ukumbi wake uliopo Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Pandu Ameir Kificho akiwa na Makatibu wake wakityoa nje ya Ukumbi wa Baraza hilo baada ya kuahirisha Kikao cha Baraza hilo Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mh. Mahmoud Mohammed Mussa mara baada ya kubaliza Hotuba yake ya kufunga mkutano wa Tisa wa Baraza la Wawakilishi
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohd Raza Hassan akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kufungwa kwa mkutano wa Tisa wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar

0 comments:

 
Top