MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIONGOZWA NA VIONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WAKATI AKIELEKEA UKUMBI WA MKU...
Nchi Yetu na Maa Media Center
Maa Media Center P.O. BOX 68877, Dar es Salaam-Tanzania Tel: +255 222 461 685 Mob: +255 787 575 918 E-mail: info@maamedia.com Website: http...
Bara la Afrika limefanikiwa kupunguza migogoro inayowakabili kwa kiasi kikubwa
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIFUNGUA MKUTANO WA TATU WA VIONGOZI NA WATAALAMU WANAOSHUHULIKIA KUONDOSHA MIGOGOR...
Kisonge yafunikwa na washabiki wa MUZIKI
MAONESHO ya sanaa ya kuadhimisha maridhiano ya kisiasa na kijamii Zanzibar, Jumamosi iliyopita yalihamia katika Uwanja wa Kisonge, ambapo vi...
Viumbe vya baharini
Ipo haja kwa wavuvi na taasisi zanazohusika na masuala ya bahari kuwa makini katika kuhakisha usafai wa fukwe za bahari husika kwa ajili ya ...
Ipo haja kwa watoto kupewa fursa za kufahia utoto wao
kuwapata nafasi watoto kufanya au kupanda vyombo au wanyama wawapendao ni haki yao ya kimsingi na ni haki kila mzazi kulifahamu hili na siyo...
Ujenzi sawa lakini utamalizika lini?
Dhana hizi zimewekwa hapa kwa kuzuwiya barabara kwa muda lakini kuwepo kwake hapa je kunasidia nini wakatika barabara haimaliziki?
Maoni ya Mhe.Tundu Antiphas Mughwai Lissu (MB) kuhusu mabadiliko ya katika ya Tanzania
MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MUSWADA WA S...
Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akifungua mkutano wa Sauti za Busara kwenye ukumbi wa Zanzibar Beach
Ndege wa aina ya Korongo wakiwa kwenye baadhi ya viunga vya jiji la Mwanza wakitafuta riski zao
Wamachinga sasa wavamia boti za AZAM
Ipo haja ya wahusika katika vyombo vya usafiri wa bahari kuangalia athari za wafanya biashara ndogo ndogo kufanya shughuli zao nje ya bodi, ...
Inawezekana ni kweli kabisa ikawa ni Farasi wa Chuma lakini, chuma chenyewe kikawa kimeshaanza kuoza, kama ambavyo uchafu huo wa vipande vya mabati na vyuma ambavyo vimo kwenye gari katika jiji la Mwanza, lakini suala la umuhimu ni kujiuliza hizi taka zinapelekwa wapi? na je usalama wa hilo eneo na watu wake ukowapi?
Hayo ndio maisha mapya ambayo kwa kila mwandamu mwenye akili timamu na mwenye uwezo anataajiwa kuyafikia ila yawe na mafanikiwa mema na sio migogoro, harusi ni jambo muhimu katika maisha ya kila kiumbe chenye akili timamu kama binadamu na si wanyawa au ndege ila kinyume chake iwe ndoana badala ya ndoa, kama ambavyo waliwili hawa walivyofarahi katika siku hii muhimu katika jiji la Mwanza
Vijana watakiwa wawe makini
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIMKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI MH...
Balozi Seif asema amani itadumi milele Tanzania
Tanzania itaendelea kuwa ya amani na usalama kufuatia Wananchi wake waliowengi kupenda tabia hiyo licha ya baadhi ya watu wachache kujaribu ...
Viongozi wa Maziwa makuu wanawajibu wakutunza amani na utuluvu kwenye mataifa yao
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU WA MIKUTANO YA KIMATAIFA YA UKANDA WA MAZIWA MAKUU BALOZ...
Jamuhuri ya Watu wa China ni kiungo muhimu katika maendeleo ya Uchumi wa Tanzania
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKISALIMIANA NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA NA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMINISTI CH...
Hudama za meli Zanzibar
Indonesia imeahidi kulifanyia kazi mara moja ombi la Zanzibar la mpango wake wa kuimarisha huduma za usafiri wa kudumu wa meli kubwa za abir...
Taaluma zaidi inahitajika ya kuweza kumlinda mtoto nchini
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa Taaluma kwa Jamii juu ya namna ya kumlinda mototo na majanga yanayotokana na udhalilishwa...