Home
»
»Unlabelled
» Inawezekana ni kweli kabisa ikawa ni Farasi wa Chuma lakini, chuma chenyewe kikawa kimeshaanza kuoza, kama ambavyo uchafu huo wa vipande vya mabati na vyuma ambavyo vimo kwenye gari katika jiji la Mwanza, lakini suala la umuhimu ni kujiuliza hizi taka zinapelekwa wapi? na je usalama wa hilo eneo na watu wake ukowapi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment