Ipo haja ya wahusika katika vyombo vya usafiri wa bahari kuangalia athari za wafanya biashara ndogo ndogo kufanya shughuli zao nje ya bodi, kuliko kuendesha shughuli zao ndani kwani husababisha usumbu kwa abiri, lakini pia Uongozi wa Azam Marine wanatakia pia kuangali usalama kwa wafanya bishara hao kwani hutokea baadhi ya wakatika huchukukiwa na bodi hadi Dar, Zanzibar au Pemba kwa baadhi ya wakati, kitu ambacho sio kizuri hata kidogo na hasa katika suala zima la usalama wa abiri na mali zao, pamoja na wafanya biashara hao, nivyema wakatengewa eneo maalumu katika eneo la bandari kwa ajili ya kuendesha shughuli zao za kibiashara

0 comments:

 
Top