Balozi Seif na michezo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wana soka wa Mkoa wa Kaskazini Unguja chini ya umri wa miaka 17 ...
Balozi Seif avutiwa na wanamichezo wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni mbunge wa Jimbo la kitope Balozi Seif Ali Iddi amevutiwa na moyo na kauli ya wanamichezo wa...
MSICHANA Elizaberty Mshana(26) mkazi wa Kihonda Mbuyuni kata ya Mafisa akiwa katika kiti cha magurudumu alichopewa na shirika linaloshughulika na watoto wenye ulemavu la TRACED,kushoto ni mama mzazi wa Elizaberty,Telesia Mdindile,katikati ni mtoa huduma wa kujitolea wa TRACED Gres John na kushoto ni mtoa huduma wa kujitolea wa TRACED Miraji Abdallah
Vyombo vya habari vinapaswa kutoa sahihi juu ya suala zima la sensa
Vyombo vya Habari Nchini bado vinapaswa kutumiwa Kisayansi katika kutoa Elimu juu ya uhamasishaji wa umuhimu wa Zoezi la Sensa ya Watu na...
Makamo wa kwaza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar asema Serikali haitowasaliti wananchi wa Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katu hawatowasaliti wan...
Mhe.Mnyaa asema Wizaya yake itaendelea kushirikiana na wataalamu wa sayansi nchini
Uongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania {costech} umeombwa kushajiisha Wasomi hasa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini kupenda k...
Bob Makani afariki dunia
Viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo wameshiriki katika ha...
Sekta ya Ufugaji
Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa Msumbiji imekumbushwa tena kufikiria ombi la Zanzibar la kuipatiwa Wataalamu katika kuendeleza Sekta ya ufu...
Anatafutwa na Polisi kwa kosa la WIZI wa VIFAA vya Zanzibar Press Club
Nd.Mbaraka Juma Ali Pichani ambaye ni maazi wa Zanzibar anatafutwa na kituo cha Polisi Kisima majon...
WORLD NO TOBACCO DAY – MAY 31 2012
Realising the globalisation of the tobacco epidemic, the World Health Organisation (WHO) declared May 31 of each year, World No Tobacco Da...
Mambo hayo
haya ni mabaki ya baadhi ya risasi ambayo yalionekana baadhi ya mitaa ya mji wa Unguja kufuatia vuru zilizojitokeza hivi karibuni
Hii ndio hali halisi ilivyokuwa katika mji wa Zanzibar (Unguja) maara baada ya vurugu zilizotokea leo ambazo zinadhaniwa kwamba zimeanywa na baadhi ya wafuasi wa jumuiya ya MUASHO
THE UN SECRETARY-GENERAL MESSAGE ON AFRICA DAY
Each year, Africa Day provides an opportunity to acknowledge the achievements of the peoples and governments of Africa and to reaffirm the ...
Vitambulisho vya Taifa
MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) Kumekuwepo taarifa kwenye baadhi ya mikoa nchini, kwamba fomu za usajili na utambuzi wa watu...
Jain Irrigation to Invest $375 Million in African Countries, PTI
Jain Irrigation Systems will invest $375 million (about Rs 2,000 crore) over the next few years to improve income of small and marginal farm...
Waandishi wa masuala ya kinsia
Ni baadhi ya washiriki wa mafunzo yahusuyo mambo ya Jinsi yanaliyoanyika katika hotel ye Peacock Dar-es-salam
JOB OPPORTUNITY
CHIEF EXECUTIVE OFFICER The Zanzibar Stone Town Heritage Society (ZSTHS) was officially registered in 2002, and presently has over two...
Picha mchanganyiko za Makamo wa Pili wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Mtandao wa Ki...
Mv Sea Gull yaharibika ikiwa safarini
Ni mara nyengine tana Mv Sea Gull ilyokuwa ikifanya safari zake kutoka katika kisiwa cha Pemba na Ugunja imeshindwa kufika kwa wakati, hii ...
Msaada wa madawati kwa skuli za Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea msaada wa Vikalio kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli za Zanzibar ndani ya kipindi cha Mie...
Late CHAIBA KOMBO [1966-2012]
It is with deep sadness that I received the news of Chaiba Kombo’s passing. Having known her for many years, there is no doubt that she w...